Imaam Muqbil Al-Waadi'y: Hijaab Mbele Ya Wazazi Makafiri Inawajibika?

Hijaab Mbele Ya Wazazi Makafiri Inawajibika?

 

Imaam Muqbil Bin Haadiy Al-Waadi’iy

 

www.alhidaaya.com

 

SWALI:

 

Je, ikiwa wazazi ni makafiri, mwanamke anapaswa hijaab (kujisitiri) mbele yao?

 

 

JIBU:

 

Ikiwa atakuwa hayumo katika fitnah, basi haina haja. Lakini akikhofia fitna kutoka kwao au watamshawishi  ukware, basi inakuwa ni waajib kwake kutekeleza hijaab mbele yao.

 

 

[Ghaaratul Ashritwah ‘alaa Ahlil-Jahl was-Safsatwah (2/220)]

 

 

Share