Imaam Muqbil: Sisi Tunatetea Na Kuihami Sunnah Hatupiganii Nafsi Zetu

Sisi Tunatetea Na Kuihami Sunnah Hatupiganii Nafsi Zetu

 

Imaam Muqbil  (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Amesema Imaam Mubqil Bin Haadiy Al-Waad’iyy (Rahimahu Allaah):

 

“Sisi tunatetea na kuihami Sunnah wala hatutetei au kuhami nafsi zetu. Tunasikia watu wanatutukana, wala hatuwajibu kwani hatuna muda wa kutetea nafsi zetu. Lakini kuhusu Sunnah, hata tukikabiliana na maangamizi, basi hatumwacha mtu yeyote aizungumzie ubaya Sunnah ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam), sawa akiwa ni Shia au Sufi au Ikhwaan Al-Muslimiyn, basi sisi ni wenye kujitoa mhanga kuitetea Sunnah na heshima zetu ni mhanga (katika kuitetea) Sunnah.”

 

 

[Fadhwaaih Wa Naswaaih (154/155)]

 

 

Share