Nakuombea
Nakuombea Yalo Mema
Kwa Usiku Na Mchana
Ziikuepuke Lawama
Kwa Watu Wenye Khiyana
Akujaalie Ukarimu
Kwa Nia Yako Njema
Akuepushie Lawama
Binaadamu Siwema
»
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha
