Imaam Ibn Al-Qayyim: Ikhtilaatw Mchanganyiko Wa Wanawake Na Wanaume Ni Sababu Mojawapo Ya Kuteremshiwa Adhabu

 

Ikhtilaatw (Mchanganyiko) Wa Wanawake Na Wanaume

Ni Sababu Mojawapo Ya Kuteremshiwa Adhabu

 

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Amesema Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah):

 

“Hapana shaka kwamba kufanyisha wanawake wachanganyike na wanaume ni asili ya kila balaa na shari nayo ni sababu kuu ya kuteremshiwa adhabu za ujumla.” 

 

[Atw-Twurq Al-Hikmiyyah (329)]

 

 

Share