Skip navigation.
Home kabah

Ujumbe Kutoka Kwa Ramaadhaan





Mimi ni Ramadhani,

Nilimpa Ujumbe Rajabu Akuletee

 

Nikamtuma na Shaaban,

Akwambie Kua Niko Njiani

 

Sasa Nimefika na Mke Wangu

Swaum na Watoto Wetu Wa Tatu

 

Rahma, Maghfira Na Toba,

Sijamsahau Rafiki Yangu Qur'aan

 

Na Ndugu Yake Qiyaamul Layl,

Sikai Kwa Muda Mrefu

 

Ntaondoka Na Familia Yangu,

Kumpisha Eid

Assalam Aleikum

Assalam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuh. ningependa sana kama mngetuma kanda ya kusikiliza Qaswida yeyote ile, ili nasi pia tuifurahie utamu wake. napia tujifunze ili tuweze kufunza wengine.

INSHA'ALLAH.