084-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kuomba Katika Kikao

Hiswnul-Muslim

084-Du’aa Ya Kuomba Katika Kikao

www.alhidaaya.com

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[195]

 

 

عَنْ ابْنِ عُمَرَ (رضي الله عنهما) قَالَ: كَانَ يُعَدُّ لِرَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي الْمَجْلِسِ الْوَاحِدِ مِائَةُ مَرَّةٍ مِنْ قَبْلِ أَنْ يَقُومَ:

 

Imepokewa kutoka kwa Ibn ’Umar (رضي الله عنهما)   ambaye amesema: ”Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) alikuwa aksioma mara mia moja du’aa hii kabla hajasimama katika kikao chake  kimoja:

 

رَبِّ اغْفِـرْ لي، وَتُبْ عَلَـيَّ، إِنَّكَ أَنْـتَ التَّـوّابُ الغَـفُورُ

 

Rabbi-Ghfir liy wa tub ’alayya Innaka Antat-Tawwabul Ghafuwr

 

Allaah Nighufurie na Nikubalie toba yangu, hakika Wewe ni Mwingi wa  Kupokea tawbah, Mwingi wa kughufuria[1]

 

 

 

 

 

 

 

[1]At-Tirmidhiy [3432] na wengineo na angalia: Swahiyh At-Tirmidhiy (3/153) na Swahiyh Ibn Maajah (2/321) na tamshi la At-Tirmidhiy.

 

 

Share