099-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Wakati Mnyama Uliempanda Akileta Tabu

Hiswnul-Muslim

099-Du’aa Ya Wakati Mnyama Uliempanda Akileta Tabu

www.alhidaaya.com

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[210]

بِسْـمِ اللهِ

BismiLLaah

 

Kwa jina la Allaah[1]

 

 

 

[1]Hadiyth ya Usamah bin ‘Umayr (رضي الله عنه)  

 

كُنْتُ رديف النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم ، فَعَثَرَت  دابته، فَقُلْتُ: تَعِسَ الشَّيْطَانُ، فَقَالَ: ((لاَ تَقُلْ تَعِسَ الشَّيْطَانُ، فَإِنَّكَ إذا قُلْتَ ذلك تعاظم  حَتَّى يكون مِثل الْبَيْتِ، وَيَقُولُ: بِقُوَّتِي، وَلَكِنْ قُلْ: بِاسْمِ اللهِ، فَإِنَّكَ إذا قُلْتَ ذلك تصاغر يكون مِثْلَ الذُّبَاب)).

((Nilipanda mnyama nyuma ya Nabiy (صلى الله عليه وسلم) mnyama wake akajikwaa nikasema: “Aangamie shaytwaan”. Akasema: ((Usiseme hivyo kwani ukisema hivyo atavimba mpaka atakuwa kama nyumba, na kisha atasema: “Kwa nguvu zangu”. Bali sema: BismiLLaah, kwani ukisema hivyo atanyweya mpaka atakuwa kama nzi)) - Abu Daawuwd (4/296) [4982] na ameisahihisha Al-Albaaniy (رحمه الله) katika Swahiyh Abi Daawuwd (3/941)

 

 

 

Share