Keki Ya Semolina, Jozi (Walnut) Ya Shira
Vipimo
Mayai - 5
Sukari - 2 Vikombe vya chai
Mafuta - 2 Vikombe vya chai
Maziwa - 2 Vikombe vya chai
Semolina - 2 vikombe vya chai
Baking powder - 3 Vijiko vya chai
Jozi zilizosagwa (Walnuts) - 4 Vikombe vya chai
Ganda la ndimu iliyokaruzwa - 1
Unga - ½ kuzidi kidogo kikombe cha chai
Shira
Sukari - 4 Vikombe vya chai
Maji - 4 Vikombe vya chai
Ndimu - 3 Slesi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo: Inapendeza kuliwa ikiwa baridi.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/106
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1041&title=Keki%20Ya%20Semolina%2C%20Jozi%20%28Walnut%29%20Ya%20Shira