SW
Mimi nimeolewa sasa inaenda miaka miwili lakini katika ndoa yangu sina raha kabia mume wangu hana raha na mimi na shida kubwa hana hamu ya kulala na mimi hata akiwa nyumbani hashughuliki na mimi.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukran zetu za dhati kwa swali lako kuhusu matatizo ya unyumba. Hata hivyo suala lako hili dada yetu halipo wazi kwani kwa kutokuwa na raha katika masiha ya ndoa, hatujui unakusudia raha ya upande upi, na je, mume wako yeye hana raha na wewe kwanini? Kuna tatizo gani hadi asiwe na raha na wewe na kwanini alikuoa ikiwa hana raha na wewe?
Hata hivyo, kwa kufikiria kwetu ni kuwa muulizaji unataka nasaha ufanyeje katika hali
Hakika ni kuwa sisi Waislamu tumekuwa na tatizo hili sugu katika jamii yetu jambo ambalo linabomoa jamii hii kwa kiasi kikubwa
Kabla ya kukupatia nasaha tungependa kukuuliza, je, huyu mume kweli alikuoa kwa ridhaa yake? Je, hali ya kutokupenda ilianza kuanzia mlipooana au imekuja baadaye? Kwa zote hizo, Nasaha zetu ni
Tunakuombea kila la kheri katika kupata ufumbuzi katika tatizo
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/60
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2853&title=Sina%20Raha%20Na%20Maisha%20Ya%20Ndoa%20Mume%20Hana%20Hamu%20Na%20Mimi%20Wala%20Hanishughulikii%20