Trifle Ya Mchanganyiko Wa Furusadi (Berries)
Vipimo Vya Kastadi
Viinimayai (egg yolks) - 4
Sukari - ½ kikombe
Unga wa mahindi mlaini (corn starch) - 2 vijiko vya chai
Malai mazito (double cream) - 2 vikombe
Vanilla - 2 vijiko vya chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika Kastadi
Vipimo Vya Mjazo Wa Beri
Furusadi changanyiko ya beri (blue berries,
Stroberi, raspberries n.k.) - 6 vikombe
Ndimu - 1 kijiko cha supu
Slesi za keki - 6
Juisi nzito ya nanasi au chungwa - 3 vijiko vya supu
Namna Ya Kutayarisha Mchanganyiko Wa Berries
Katika bakuli jengine, tia furusadi zote, tia 2 vijiko viwili vya sukari, ndimu, juisi vijiko 3 uchanganye vizuri. Weka kando.
Vya Kunyunyuzia
1-Malai matamu yaliyopigwa na wiski (whipped sweetened cream)
2-Lozi zilizokatwakatwa
Namna Ya Kuitayarisha Trifle
Kidokezo:
Wakati wa kutayarisha Trifle, unaweza kugawa mchanganyiko huo ukipenda katika vigilasi au vibakuli mbali mbali badala ya kufanya katika bakuli moja kubwa
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/43
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F3051&title=Trifle%20Ya%20Mchanganyiko%20Wa%20Furusadi%20%28Berries%29%20