SW
JIBU
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu tajiri anayetumia pesa zake kununua magari ya kifahari na mengineyo. Tunamuombea mtu huyo
Jambo ambalo linakatazwa ni yeye mwenyewe kutoa kwa shughuli hizo, kama Zakaah na Swadaqah kisha akawa anahadithia na kujiona katika
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/67
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F3386&title=Tajiri%20Anayetumia%20Pesa%20Kwa%20Kujionyesha