SWALI:
SUALA LANGU LINAULIZA VIPI ANAWEZA KUOLEWA MTOTO WA ZINAA WARKA WA NDOA PAMOJA NA WALIO HUDHURIA KATIKA MALKA WATAJUULISHWA NI BINTI WA NANI SHUKRAN NDUGU YENU HILAL
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu ndoa ya mtoto wa nje ya ndoa.
Ni nasaha yetu kwa kila mmoja wetu ajiepushe
Ama ikiwa imetokea kuwa mtoto amezaliwa nje ya ndoa basi yeye hana makosa bali makosa makubwa ni kwa mwanamme na mwanamke waliofanya dhambi kubwa
Tukija katika swali lako ni kuwa ikiwa kosa
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/101
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F3852&title=Mtoto%20Aliyezaliwa%20Nje%20Ya%20Ndoa%20Vipi%20Anaweza%20Kutambulishwa%20Na%20Ataandikishwaje%20Kwenye%20Cheti