SWALI:
Assalam Aleykum,
Mimi ni mpenzi wa website hii. Huwa najifunza mambo mengi humu.
Nimesoma kuhusu matatizo ambayo yanamfanya mwanaume aruhusiwe kuoa mke wa pili n.k. kwa kuwa ndio solution inayoonekana bora zaidi. Napenda kuuliza je
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako zuri kuhusu mume kutokuwa na uzazi, mke afanyeje?
Hakika ni kuwa kama vile mwanamke anavyokuwa hawezi kuzaa mume naye pia anaweza kuwa na tatizo
Tatizo
Hata hivyo, si vibaya kutafuta tiba kwani kuna waliokuwa na tatizo
Hakika ni kuwa Uislamu, umetoa suluhisho kwa kila tatizo. Bila shaka, mke akiwa na tatizo
Ikiwa tatizo
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/59
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F3960&title=Mke%20Afanyeje%20Ikiwa%20Mumewe%20Hana%20Uzazi