Itikadi Potofu Za Qadiyani
Alhidaaya.com [2]
SWALI:
Nasikitika sana kuwa ndugu zangu wengi tunaoishi pamoja hapa Dublin -Ireland wakutokoea Kenya na Tanzania wamejiunga nao. Tena kwa mori na hamasa. Nawaamabilii neno. wataka uwasikize wao na si wewe. Nimefwatilia baadhi ya itkadi zao nikapata kuwa wana husiana na ahmadiya anjuman Baadhi Ya Itikadi Zao.
JIBU:
AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na Salaam zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho
Hakika Muislamu hafai kuwaita hao Maqadiyani kuwa ni Ahmadiya. Wao wanataka waitwe hivyo ili Waislamu wasiweze kuwatambua na hivyo kuwafuata kwani hilo jina, Ahmad ni jina jingine la Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).
Hakika hawa ni watu wabaya kabisa kwani wana sifa nyingine mbali na hizo ulizotaja. Mfano ni:
Ni nasaha kwako uendelee na Da‘wah ya kuwaelezea hao ndugu zetu huenda wakaja kuwafahamu na kuwaacha. Na soma na wafikishie makala hizi zilizomo ndani ya ALHIDAAYA kuhusiana na kundi hilo potofu:
Jihadhari Na Kundi La Ahmadiya (Maqadiyani) Dhidi Ya Uislam [4]
Tunakutakiwa kila la kheri katika ulinganizi wako huo na ujira wako uko kwa Allaah Aliyetukuka.
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/217
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/116
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/node/117
[5] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4224&title=Itikadi%20Potofu%20Za%20Qadiyani