Mishkaki Ya Kuku (Aina Ya 2)
Vipimo
Kuku bila mifupa - 2lb (ratili)
Mtindi - 4 vijiko vya supu
Manjano - ½ kijiko cha chai
Paprika - ½ kijiko cha chai
Kuzbara (dania ya unga) - ½ kijiko cha chai
Kitunguu saumu (thomu) - 1 kijiko cha chai
Tangawizi - ½ kijiko cha chai
Pilipili mbichi ya kusaga - ½ kijiko cha chai
Asali - 1 kijiko cha chai
Chumvi - kiasi
Ndimu - 1
Mafuta ya zeytuni - 2 vijiko vya supu
Kitunguu - 1
Kotmiri - ¼ Kikombe
Vijiti vya kuchomea
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/107
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4301&title=Mishkaki%20Ya%20Kuku%20%20%28Aina%20Ya%202%29