SWALI:
Mimi nina swali langu moja je DAMU ya mimba iliotoka au kutolewa ikisha isha mwanamke hujipa udhu vipi samaha ikiwa kama swali litakua limesha ulizwa
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu cha kufanya mwanamke anapoharibu mimba.
Katika kuoga josho la janaba ima kwa kukatika kwa damu ya nifasi au damu ya mwezi mwanzo unaanza na kuchukua wudhuu
Hii ndio njia ya kuoga baada ya damu kumalizika.
Bonyeza viungo vifuatavyo upate maelezo zaidi
Ghuslu - Vipi Kukoga Janabah, Nifaas Na Hedhi [2]
044 - Kuoga (6) Kuoga Mwanamke Janaba, Hedhi Na Nifaas, Na Kukausha Viungo Baada Ya Kuoga [3]
045 - Kuoga (7) Masuala Yanayohusiana Na Kuoga [4]
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/137
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/370
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/3983
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/node/4013
[5] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4410&title=Anapoharibu%20Mimba%2C%20Afanye%20Wudhuu%20Au%20Ghuslu%3F