Nyama Ya Mbuzi Ya Kukausha Na Viazi
Vipimo
Nyama ya mbuzi ilokatwa vipande - 4 Lb
Viazi vilivyomenywa na kukatwa - 4
Tangawizi iliyosagwa - 1 Vijiko vya supu
Kitunguu saumu/thomu kilosagwa - 1 kijiko cha supu
Pilipili nyekundu nzima - 3
Pilipili manga ya unga - 2 vijiko vya chai
Mdalasini - 1 kijiti
Jira (bizari ya pilau/cummin powder) - 1 kijiko cha chai
ndimu - 2-3 vijiko vya supu
Chumvi - kiasi
Kitunguu kilichokatwa - 1 kikubwa
Nyanya ilosagwa - 2 kijiko cha supu
Mafuta - ¼ kikombe
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezeo: Ukipenda unaweza kukatia mapilipili boga na karoti.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/107
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4541&title=Nyama%20Ya%20Mbuzi%20Ya%20Kukausha%20Na%20Viazi