SWALI:
Asalaam alykum.
Mume wangu alikua mkristo miaka 9 kabla yakunioa mie mwaka jana.
Nimemkuta hajatahiriwa nikamshauri baada ya miezi 6 akaenda kutahiriwa, Lakini wamemtahiri vibaya kwamaana govi bado limebaki kiasi kwamba kumradhi
Nimejaribu kumshauri akatahiriwe tena
Sina raha na tendo la ndoa,siku hizi nikimwambia asema ataenda lakini Haendi!Naombeni ushauri ndugu zangu waislam nirudi kwetu mpaka atakapo Rudia tena au nifanyaje au nimwambiaje ili mume wangu arudie tena tohara?
Nashukuru. Asalaam alykum.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu mume kutahiriwa vibaya na hivyo kuona shida katika tendo la ndoa. Kwa hakika
Mbali na ushida unayopata dada yetu inatakiwa uvumilie kwa muda mwingine kwani mume wako alikuwa si Muislamu na huenda bado hajapata mafunzo katika maumbile ya Kiislamu na Sunnah zake. Kwa kuwa kutahiri kwa wanaume ni jambo lililo la maumbile Waislamu wanatahiriwa wakiwa wadogo ili wasipate taabu baadaye.
Nasaha ambazo tunaweza kukupa ni kwua wewe uko katika Da’wah ya kumbakisha mumeo katika Dini hii ya Uislamu. Hivyo, tunaomba ufanye yafuatayo:
Tuna matumaini makubwa
Na Allaah Anajua zaidi.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/101
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4607&title=Baada%20Ya%20Kusilimu%20Alitahiriwa%20Akakosewa%20Inamletea%20Madhara%20Mke%3B%20Hataki%20Kurudi%20Kutahiriwa%20