SWALI:
Assalam alaikum warahmatullahi wabarakatu...........
Natumai muko wazima wa afya alhamdullilah.....niko na swali ningefurahi kupata majibu.
Wewe ni mwanamume ulie owa mke wako na uka muweka aishi na mama yako wazazi kwa muda wa miaka mingi kama kumi na saba hivi sababu wewe unafanya kazi nchi nyengine ...wewe huleti chakula wala maangalizi ya mke wako na wanao na sasa mkeo amevumilia mambo madogo madogo na pia upuuzi ambao anafanyiwa kwenu maana nyumba anayoishi ni ya jamii kuna dada zako na kaka zako pia mpaka anataka kuishi pekee na watoto wake. Je huyu mke anayo haki ya kuishi pekee ama ni mpaka mama yako aridhike ndio umpe mkeo nafasi ya kuishi maisha yake na watoto wake. Sababu kubwa ni huyu mwanamume anataka kumkalisha mkewe na mamake wapate kusuluhisha hitilafu baina
mimi nimeolewa muda wa miaka 17 na naishi na wazazi wa mume wangu.....Miaka kama minane ya kwanza tulikuwa tunaishi vizuri halafu kukatokea hitilafu kidoga baina ya yule mama na mimi nkaenda kwetu nyumbani kumchukuwa mama yangu ili tupate kusuluhisha hio hitilafu lakini mavya yangu alikataa kata kata kusikiza bali aliniambia miende zangu hanitaki nyumbani kwake ......wakati nikiolewa mume wangu alikuwa ni mtu wa safari mpaka hii leo. Ajabu ni kuwa mume wangu alikataa kusikiliza upande wangu bali alisikiliza upande mmoja tu wa mama yake..........alitaka niende kumuomba mama yake msamaha kwa kosa ambalo sijafanya na maneno mengine mingi mama yake alisema.....niliishi kwetu kwa muda wa miezi 8 alikuwa haniangalii kwa chochote bali alikuwa akinipigia simu ili niende niombee msamaha. Baada ya miezi 8 niliamua kuenda kuomba msamaha nikarudi kwao kwa ahadi ya kuwa baada ya miezi 3 au 4 tutagura tuishi pekee yetu, mpaka hii leo ahadi bado haijatimizwa na mume ashaowa wake wengine wawili na kila mtu anaishi kwake........sasa nifanyeje
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kuweka katika nyumba ya mkwe wako. Hakika ni kuwa mke ana haki ya kuomba kutoka kwa mume wake kuajiriwa nyumba akaishi yeye, mumewe na watoto wao. Na njia hiyo pia inaondoa fitna nyingi zinzotokea baina ya mama na dada za mume
Kwa hali hiyo ulivyo sasa, ni wewe kufanya yafuatayo:
Ufahamu kuwa
Na Allaah Anajua zaidi.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/57
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4658&title=Amemuacha%20Mke%20Mkubwa%20Kwa%20Wazazi%20Wake%20Ambako%20Hakuna%20Masikilizano%20%E2%80%93%20Mume%20Hamdumii%20Je%20Ana%20Haki%20Kudai%20Talaka%3F