Anaomba Majibu Kwa Dr. Paul Hamisi Hussein Kwa
Hotuba Yake Iliyosema Uislamu Ni Dini Ya Majini
Alhidaaya.com [2]
SWALI:
Assalam aleikum warhamtullahi wabarakatuh.
Mimi na ishi Holland,niko kijana wa myaka 12.
Swali langu nihili,nileweza kuona kwenye website ya www.youtube.com [3] ambao niligunduwa Dr Paul Hamissi Hussein nalikuwa ana hutubiya mjini Rwanda-Kigali yakuwa Islam ni dini ya majini, na yeye ni mwenye asili yakutoka mjini Kigoma-Tanzania, je ndugu zangu wa Islam wa Alhidaaya hii mnaweza kuwa mlikwisha ona gisi nalivyo chafuwa dini ya kislam? Namengineyo mengi machafu nakuji tambulisha kuwayeye alikuwa sheikh waki Islam tunaombeni Alhidaaya hii tunaomba kwajili ya Allah muweze kumjibu kupitiya kwenye website ya www.youtube.com [3] ili tuweze kufanikiwa tuone ukweli ili ndugu zetu wapate faida yakujuwa ipi dini ya haki? Na tunamuomba Al hadji Dr Soulley kutoka Tanzania aweze kutupa uwazi kwenye website hii www.youtube.com [3].
Wahadha Assalaam aleikum,tunawatakiya kila la kheri
JIBU:
AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na Salaam zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho
Tumetazama video zake kadhaa na yafuatayo ndio tumeyagundua:
10. Kuna mashaka kama kweli alikuwa Muislamu. Na haitoshangaza kama mtu anadai alikuwa Muislamu na wakati alikuwa Muislamu alikuwa ni mshirikina kama anavyojielezea mwenyewe, na haishangazi kutokuwa na matendo ya Kiislamu ikiwa kweli alikuwa Muislamu.
11. Utagundua kuwa ujanja wake huo utakuta anakwenda kuufanyia huko Burundi na Rwanda na sio Tanzania alipotoka kwani wengi watamgundua uongo wake na ataumbuka mara moja.
Hivyo, usipoteze wakati wako kwa mtu kama huyo, na wale usijishughulishe na kuacha kazi za maana za kujieleimisha dini yako na kusikiliza watu kama hao wenye kutafuta pesa kwa wajinga wenzake ambao kila wanapomsikia mtu alikuwa Muislamu basi wanavutika kumsikiliza.
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/217
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/
[3] http://www.youtube.com/
[4] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4704&title=Anaomba%20Majibu%20Kwa%20Dr.%20Paul%20Hamisi%20Hussein%20Kwa%20Hotuba%20Yake%20Iliyosema%20Uislamu%20Ni%20Dini%20Ya%20Majini