Nani Mwenye Akili?
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Alhidaaya.com [2]
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
"Haitwi 'Mwenye Akili' isipokuwa yule mwenye kuijua khayr akaitaka, na akaijua shari akaiacha.
Na kwa hivyo, walisema watu wa Motoni:
وَقَالُوا لَوْ كُنَّا نَسْمَعُ أَوْ نَعْقِلُ مَا كُنَّا فِي أَصْحَابِ السَّعِيرِ﴿١٠﴾
Na watasema: “Lau tungelikuwa tunasikiliza au tunatia akilini, tusingelikuwa katika watu wa motoni.” [Al-Mulk: 10]
[Al-Fataawa, juz. 7, uk. 24]
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/229
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7147&title=Imaam%20Ibn%20Taymiyyah%3A%20Nani%20Mwenye%20Akili%3F