Kuku Wa Kuoka Na Viazi Kwa Sosi Ya Hardali
Vipimo
Kuku - 1
Viazi - 3
Tangawizi ilosagwa - 1 kijiko cha supu
Thomu (saumu/garlic) ilosagwa - 1 kijiko cha supu
Sosi ya hardali (Mustard) - 1 kijiko cha supu
Mtindi (Yoghurt) - ¼ kikombe
Kitunguu - 1 kata slaisi kubwakubwa
Pilipili boga (capsicum) - ½ rangi mbali mbali
Chumvi - kiasi
Pilipilipili nyekundu ya unga - ½ kijiko cha chai
Bizari mchanganyiko - 1 kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/107
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7287&title=Kuku%20Wa%20Kuoka%20Na%20Viazi%20Kwa%20Sosi%20Ya%20Hardali