Vitumbua Vya Mayai Vidogodogo -1
Vipimo
Mchele - 2 mugs
Hamira - 2 vijiko vya chai mfuto
Sukari - ¼ robo magi takriban
Tui la nazi zito - 2 mugs
Maziwa ya unga - 2 vijiko vya supu
Mayai - 2
Hiliki - ½ kijiko cha chai
Vanilla - 1 kifuniko cha chupa
Mafuta ya kupikia - 1 kikombe takriban
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/105
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7313&title=Vitumbua%20Vya%20Mayai%20Vidogodogo%20-1