Ahlus-Sunnah Msikate Taamaa Kwa Wingi Wa Maadui Wanaopambana Na Haki
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
“Tunapaswa kutovunjika moyo kwa wingi wa maadui na nguvu walizonazo wale wenye kupambana na Haki.
Hakika Haki ni yenye kunusuriwa, (lakini pia ni) yenye kujaribiwa kwa mitihani (mbalimbali).”
[Sharh Kashf Ash-Shubuhaat, uk. 64-65]
Alhidaaya.com
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/228
[2] http://www.alhidaaya.com/
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8710&title=Imaam%20Ibn%20%E2%80%98Uthaymiyn%3A%20Ahlus-Sunnah%20Msikate%20Tamaa%20Kwa%20Wingi%20Wa%20Maadui%20Wanaopambana%20Na%20Haki