Pizza Ya Mboga
Vipimo
Unga - 4 Vikombe
Maziwa ya unga - 2 vijiko vya supu
Mafuta ya zaituni - ½ kikombe
Hamira - 1 kijiko cha supu
Chumvi - kiasi
Sukari - 1 kijiko cha chai
Maji dafu dafu - 2 kikombe
Namna ya kutayarisha na kupika
Sosi ya Pizza
Kitunguu kilichokatwa kidogo kidogo - 1
Kitunguu saumu(thomu) iliyokatwa ndogo ndogo - 3 chembe
Sosi ya HP - 3 vijiko vya supu
Sosi ya tomato - 3 vijiko vya supu
Pilipili manga - 1 kijiko cha chai
Oregano - ½ kijiko cha chai
Parsley (ukipenda) - ½ ukipenda
Namna ya kutengeneza Sosi
Vitu vya kujaza juu ya pizza
Nyanya zilizokatwa vipande vipande
Pilipili mboga iliyokatwa ndogo ndogo
Chembe za mahindi kiasi
Zaituni ikiwa za kijani au nyeusi
Cheese ya Mazorella
Namna ya kutayarisha na kupika
Kidokezo:
Upendavyo katika hivi au vyovyote vinginevyo kujaza juu ya pizza
Tuna
Nyama ya kusaga iliyopikwa
Kuku aliyekaushwa na kukatwa vipande vipande
Sauage zilizokatwa
Salami
Vipande vya nanasi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/186
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F992&title=Pizza%20Ya%20Mboga