Keki Ya Tende Kwa Karameli Ya Tangawizi
Vipimo
Unga - 3 kikombe
Baking powder - 3 Vijiko vya chai
Sukari - ½ Kikombe
Tende iliyokatwa ndogo ndogo - 2 vikombe
Maji yamoto - 2 vikombe
Siagi - 4 Vijiko vya supu (au vikombe 2 vya kahawa)
Mayai - 2
Cream - 300 gm (au vikombe 2 Vya Kahawa)
Tangawizi ya powder - 1 kijiko cha
Mdalasini - 1 kijiko cha chai
Hiliki - ½ kijiko cha chai
Vanilla - 4 vijiko vya chai
Vipimo Vya Karamel
Sukari ya buni (brown sugar) - 5 Vijiko vya supu
Siagi - 6 Vijiko vya supu
Tangawizi ya powder - 1 kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Namna Ya Kutayarisha Karamel
Yayusha siagi katika sufuria ndogo au frying pan kisha tia sukari ya brown.
Tia tangawizi changanya.
Inapoyayuka, mwagia katika keki
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kuburudika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/106
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F994&title=Keki%20Ya%20Tende%20Kwa%20Karameli%20Ya%20Tangawizi