Hadiyth: Fadhila Za ‘Ilmu Na ‘Ulamaa
Hadiyth Ya 21
Aliye Mbora Kabisa Ni Mwenye Kujifunza Na Kufundisha Qur-aan
Alhidaaya.com [1]
عن عثمانَ بن عفانَ رضي الله عنه أنَّ النبيَّ صلى الله عليه وسلّم قالَ: ((خَيرُكُم مَنْ تعَلَّمَ القُرآنَ وعَلَّمَه)) صحيح البخاريِّ
Imepokelewa kutoka kwa 'Uthmaan bin 'Affaan (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) kwamba Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) amesema: “Mbora wenu ni yule mwenye kujifunza Qur-aan kisha akaifundisha.” [Al-Bukhaariy]
Fadhila nyenginezo tele za kujifunza na kufundisha Qur-aan zinapatikana katika viungo vifuatavyo:
Aayaat Kuhusu Fadhila Za Qur-aan Na Umuhimu Wake [2]
Fadhila Za Kusoma Na Kuhifadhi Qur-aan Katika Hadiyth Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) [3]
Maamrisho Ya Kuisoma Qur-aan Na Kuifanyia Kazi [4]
Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9572
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/50
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9573
[5] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10905&title=21-Hadiyth%3A%20Fadhila%20Za%20%27Ilmu%20Na%20%27Ulamaa%3A%20Aliye%20Mbora%20Kabisa%20Ni%20Mwenye%20Kujifunza%20Na%20Kufundisha%20Qur-aan