Hiswnul-Muslim
004-Du’aa Unayomuombea Aliyevaa Nguo Mpya
[2]Bonyeza Hapa Usikilize [2]
[7]
تُبْـلي وَيُـخْلِفُ اللهُ تَعَالى
Tubliy wa YukhlifuAllaahu Ta’aalaa
Itakwisha [kwa kuzeeka na kupasuka] na Allaah Atakupa nyingine[1]
[8]
اِلبَـس جَديـداً وَعِـشْ حَمـيداً وَمُـتْ شهيداً
Ilbas jadiydan wa ’ish hamiydan wamut shahiydaa
Vaa nguo mpya, na ishi hali ya kuwa ni mwenye kushukuru, na kufa hali ya kuwa ni shahidi [2]
Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] http://www.alhidaaya.com/swahili/duaa_adhkaar/index.php?file=./Hiswnul%20Muslim%20Kwa%20Sauti/004-Duaa%20Unayomuombea%20Aliyevaa%20Nguo%20Mpya.mp3
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7136&title=004-Hiswnul-Muslim%3A%20Du%E2%80%99aa%20Unayomuombea%20Aliyevaa%20Nguo%20Mpya