Aayah Na Mafunzo
Al-Maaidah
Watu Watatu Wenye Kuchukiza Zaidi Kwa Allaah
Alhidaaya.com [1]
أَفَحُكْمَ الْجَاهِلِيَّةِ يَبْغُونَ ۚ وَمَنْ أَحْسَنُ مِنَ اللَّـهِ حُكْمًا لِّقَوْمٍ يُوقِنُونَ ﴿٥٠﴾
50. Je, wanataka hukumu
za kijahiliya? Na nani mbora zaidi kuliko Allaah katika kuhukumu kwa watu wenye yakini.
Mafunzo:
Ibn ‘Abbaas (رضي الله عنهما) amehadithia kwamba Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: “Watu wenye kuchukiza zaidi kwa Allaah ni; Mweye kufanya uovu katika Al-Haram (Makkah), mwenye kutafuta katika Uislamu mwenendo wa jaahiliyyah, (enzi za ujinga kabla ya Uislamu) na mwenye kutafuta damu ya mtu ili aimwage bila ya haki.” [Al-Bukhaariy].
Links
[1] http://alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8208&title=050-Aayah%20Na%20Mafunzo%3A%20Watu%20Watatu%20Wenye%20Kuchukiza%20Zaidi%20Kwa%20Allaah