alhidaaya.com
Kitabu Cha Wageni


Andika Maoni


Messages : 1 to 10
Page : 1
Number of messages : 1087
<< previous
1-2-3-4-5-6-7-8-9-10 ... 109
á
on 11/04/2014 at 19:19

As.aleykum,Allah s.w ajaalie kheri katika masomo haya muhimu.
   
on 10/04/2014 at 11:47

Assalaam aleykum. kwa majina naitwa khalfan nassoro kihegu. ninaishi mzumbe morogoro. kwa upande wangu sina maon ila ninaombi. ombi langu naomba mnisaidie vitabu vya kujifunzia: tawhid, fiqh, lugha, tajwiid, hadith na vingine mtakavyoona vinamfaa mtu ambaye ndio anaanza kujifunza elimu hii ya dini. tatizo kwanza sina uwezo wa kumudu kuvinunua, na pili sitaweza kujua vitabu vyenye usahii maana naogopa sana bid'a. INSHAALLAH MWENYEZIMUNGU ATAWALIPA.
     
on 24/03/2014 at 21:49

Natoa shukurani za dhati ndugu zangu mliopata fkira ya kuanzisha wep site hii.Mungu awalipe jan-naa
     
on 08/03/2014 at 13:57

kweli tunashkuru kwa kutuelimisha na kutufumbua macho sisi wanawake kupitia ukrasa wako huu naamini si mm peke yangu na wanawake wengi kwa kweli Mungu akubariki sana, ila nina swali moja neno malai lina maana gani au ulikuwa unamaanisha mayai?
 
on 08/03/2014 at 10:07

Asalma/alaykum warahmatu wahii wabarakatu .Nawashukuru sana kwa juhudi mulofanya mpaka mukafika hapa na Mwenye nzimungu atujaliee Tuendelee zaidi ya hapa na sisi tulo mbali tupate kufaidika .
  á
<< previous
1-2-3-4-5-6-7-8-9-10 ... 109
Messages : 1 to 10
Page : 1
Number of messages : 1087