Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 101 to 120
Page : 6
Number of messages : 1549
on 22/04/2017 at 19:43

Rewards u in Shawnee Allah
الله May ااسلم اليكم ورحمةالله وبركا
 
on 20/04/2017 at 05:12

ASSALAMU ALAIKUM ALLA AWAJAZE KHERI AWALIPE MALIPO MAZURI
 
on 18/04/2017 at 03:16

Namshukuru Allaah Jalla Wa 'Alaa Kwa Kuniwezesha Kufaidika Vilivyo Katika Tovuti Hii,kuna Jambo NaliHITAJI MNO Ambalo Ni Lugha Ya KIARABU Naomba Mtuelimishe Pamoja Naomba Tafsiyr Ya Qur'aan Ya Abuu Usaamah Faarah Iendelezwe Insha Allaah, Allaah Awalipe
 
on 12/04/2017 at 05:34

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Allah awabariki alhidaaya kwa kutuelimisha MashaAllah tunafaidika sana AlhamduliLlah kupitia site hii tunapata kuijua dini yetu sahihi kutoka katika Qur'aan na Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia (Salafu Sw-Swaaleh)

Allah awape Umri wenye Baraka na Afya njema muzidi kutuelimisha.
Aamiyn.
 
on 14/03/2017 at 11:05

Jazaka Allah kher,mungu awajaze kheli na mzidi kutuelimisha mema katika uislamu.Ishaallah mungu atawalipa kwa kile mnacho kifanya.
 
on 14/03/2017 at 05:18

Jazaakallahul khair Allah awaalipe ujira uliokuwa wema awasamehe madhambi yenu pamoja na wenenu jamaa zenu na waumini wote kwa ujumla.Amiin
 
on 09/03/2017 at 11:07

ALLAH AWEJAZE KILA LA KHER KWA ILMU MNAYO TUPA, ALLAH NDIE MBORA WA KULIPA.
 
on 04/03/2017 at 14:35

Assalaam Alaikum shukran kwa kutuelemisha
 
on 04/03/2017 at 11:46

Assalamu 'alaykum warahmatulahi wabarakatuh,ndugu zangu wa alhidaaya Allah awalipe kila la kheir katika hili jambo jema kabisa hapa Duniani na kesho qiyama in shaa Allah,mimi binafsi nimefaidika sana na tovuti hii kwani hivi sasa ninaweza kubaini mambo mengi ya uzushi hogereni sana.
 
on 02/03/2017 at 19:28

Shukran. mwatutoa taka za masikio kwa uwezo wa Allah. Allah awajaze kila la kheri Amin.
 
on 15/02/2017 at 20:55

As salaam alaikum warahmatuLlahi wabarakatuh.Shukran kwa ukumbusho na mafunzo yenu.Allah awabariki
 
on 13/02/2017 at 18:06

Asalam alaykum namshkuru Allah kwa kuwajaalia kuweka huu mdandao nimejua mengi nisiyo yajua Allah awapekila lakheri na mzidi kutunufaisha in Shaa Allah.
 
on 11/02/2017 at 19:25

Masha_Allah Allah awape kila kheri fi dunia wal akhr. Amin
 
on 31/01/2017 at 08:13

Kazi yenu ya kuelimisha ni nzuri sana. Maudhui ya mada yanajitosheleza. Alla(S.W) kwa ukarimu wake amulipe malipo ya Maulamaa. Aamin
 
on 30/01/2017 at 09:02

Asalamu Aleykum mm Alhamdulillah Natoa Shukran kwa Allah Subhanahu Wata'ala kuwaezesha kutoa website kama yenye kutuelimisha na kutufaidisha Alhamdulillah ALLAH Awalipe kila LA kheri Duniani na Kesho Akhera Ameyn
 
on 09/01/2017 at 05:21

Assalam aleikum warahamatullahi wabarakatuh, Allah awalipe kila la khery, na awape subra kwa kilajambo
 
on 30/12/2016 at 12:59

allah akupeni tawfiq ya kuzidi kutuelimisha
 
on 11/12/2016 at 08:16

asalam alayqum mimi sina mengi zaidi y kumshukulu Allah(s.w)kwa kumuwezesha sheikhe kuandika ujumbe ulio mzuri amin mwenyezi mungu amjaalie kila la kheri na amuepushe na mabalaa yote yeye na wengineo wote amin yangu ni hayo tu
 
on 08/12/2016 at 07:07

Assalamu aleykum naomb nami niwe napata mawaidha yenu mazuri mno
 
on 04/12/2016 at 18:39

Assalam alaikum
nawaombeni mkiafikishwa Mtuwekee Tarjama ya quraan kwa pdf au app kama ilivyo mapsh app unatumia hata ukiwa hiuna mb.
Jazakum Allahu khayr
 
Messages : 101 to 120
Page : 6
Number of messages : 1549