Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 121 to 140
Page : 7
Number of messages : 1549
1 ... 2-3-4-5-6-7-8-9-10-11 ... 78
on 02/12/2016 at 08:58

Assalaam Alaykum; Allah awalipe kila la kheri kwa kuendelea kutupatia Elmu yenye manufaa,
 
on 01/12/2016 at 15:05

Mashaalah, Allah awalipe Kheri Kwa Darasa Zuri Alhidaahya ahsanten sana
 
on 28/11/2016 at 11:59

Asanteni sana na mungu awabariki kwa haya mawaidha mazuri mazuri lakini nilikuwa naomba kama kuwe na lugha tofauti tofauti tutakayochagua.
 
on 27/11/2016 at 14:44

Allah Awajaze kheri enyi wana alhidaaya.mm nimejifunza na kuelimika kupitia website hii.nawashukuru nyote mlioko alhidaayaوباالله توفيق
 
on 17/11/2016 at 10:50

Allah Awajazie Heri Kwa Kuelimisha Umma.
 
on 16/11/2016 at 14:35

Mungu awajaalie kwa kazi mnayo ifanya kwan ni daawa tosha
 
on 14/11/2016 at 15:48

Nashkuru in nzur
 
on 11/11/2016 at 00:53

allah akupeni tawfiq ya kuzidi kutuelimisha
 
on 08/11/2016 at 09:45

Nimefurahi sana kuona kwamba ndugu zetu tukali an fahamu za kidini.. hata mimi naunga mkono kuhusu kumswalia mtume swallallahu alaihi a sallam.. sio vizuri kufupisha swalla za mtume au swift za allah au za maswahaba... allah subhanahu wa taala tupe mapenzi yakutuwezesha kumswalia mtume swallallahu alaihi wa sallam an kumtukuza Allah subhanahu wa taala ki ukamilifu......
 
on 07/11/2016 at 18:02

Nawaombeeni heri nyingi kwa Allah,mimi binafsi namwachia Mungu kila jambo ktk maisha yangu.
 
on 06/11/2016 at 15:33

Allah awajaze kheri
 
on 18/10/2016 at 13:41

Assalam alaykum. Alhiddaya kweli no kituo cha uongofu
 
on 17/10/2016 at 19:59

ALLAH awathibitishe na awadumishe katika Kheri. Nashukuru Tunapata faida kubwa sana.
 
on 17/10/2016 at 10:32

assalam alykum. shukurah nying xana kwenu
 
on 15/10/2016 at 09:54

Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh,

Sina maoni ila ninatoa shukrani, Allah(subhanah wataala) awazidishie kila la kheir kwa yote mema mnayowapa watu,na awasamehe kama kuna sehemu mumekosea.

Wassalam.
 
on 07/10/2016 at 14:26

asalam alajkum mashaallahalhidaya
 
on 04/10/2016 at 04:43

Mashallah allah awazidishie Al hidaya Hakika ulinganiaji ni popote nasaha zenu ziwafikie ulimwengu mzima
Allah s.w Awajaze imani na subra ktk kazi hii In Shaa Allah
 
on 02/10/2016 at 08:58

Shukran sana kwa darsa zenu. Allah awalipe.
 
on 25/09/2016 at 02:53

as slaamu alaykum nashukuru kwa ulingano wenu wa haki
 
on 23/09/2016 at 13:11

Asanteni sana nimejifunza mambo mengi
 
1 ... 2-3-4-5-6-7-8-9-10-11 ... 78
Messages : 121 to 140
Page : 7
Number of messages : 1549