Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 1361 to 1380
Page : 69
Number of messages : 1549
on 09/09/2007 at 14:29

asalamu alaikum warahmatullahi wabarakatu ndugu zangu waislamu ninafuraha sana kupata site kama hii ya kidini ambayo nimefaidika sana nayo na naomba mungu awajaze kheri na iwe katika mizan za amali zenu mzuri.kama ina wezekana ningependa kuomba muweke anashid na qaswida za kiswahili.waalaikum salam warahmatullahi wabarakatu
 
on 07/09/2007 at 19:17

A/S

Ningependa kutoa kwanza shukran zangu kwa ALLAH (SWA) kwa kutufikisha wiki hii ya kuikaribisha mgeni wetu, Ramadhani ambayo utakuja wiki ijao. Na ningependa kuwashukuru watayarishaji wa makala haya ya Alhidaaya kwa kutuahidi kutuletea mawaidha maypa za masheikh mashuhuruambayo tunawategemea kuhusu ramadhani na Mungu awajaze imani na pepe siku ambayo amali na watoto hayatamsaidia mtu.
 
on 07/09/2007 at 07:42

asalam aleykum ikhwaa. kwanza na shukuru mungu kwa kutufanya sisi waisalmu. kwani ni naseha kubwa sana muno. lapili nawashukuru alhidaaya crew kwa kutengeneza webbu hii ya kheiri. manshaallah nimepata kher yingi since nime anza kutumia webbu hii. thank you so much my brothers and sisters in islam kwa kheiri hii. nawa ombea mungu awapatiye janatul fardows for your efforts. asc- kaka issedin
 
on 31/08/2007 at 14:55

so happy , kwa kuweza kujua mambo mengi ya uislam, merci
 
on 29/08/2007 at 14:51

Asalam Aleikum.....na mshakuru ALLAH S.W kwa kunijalia kupata nafasi kama hini na kumtakia bwana wetu mtume MOHAMMAD s.a.w rehma na amani zimiminikie na kutoa shukran zangu zote kwa hawa ndugu zetu wanaoifanya kazi hii ya kulimisha WAISLAMU wenzao kwa njia ya urahisi ya internet inshallah biidhnillah mwenyezi mungu atawalipa fi dunia wala akhera...hii ni kazi inzuri sana munayoifanya japokuwa sio rahisi na inshallah mwenyezi mungu atawa rahisishia kwa kila swali na jawab ilimutuelimishe ndugu zenu waislamu...inshallah jaza yenu mutaikuta kwa ALLAH S.W....JAZAKALLAH KHEIRAN
 
on 25/08/2007 at 14:49

Assalam Aleikom wa rahmatu Allahi wa barakatu ama baad - tunashukuru mwenye enzi Mungu, kwa kukujalieni enyi mlio fungua mtandao huu, ili kupata elimu na mafunzo sahihi ya dini yetu tukufu ya ISLAM, baraka ya mwenye Enzi Mungu na rehema zake ziwe kwenu, barakaallah fikom, wa jazakom allah kheir aljazaa inshallah fi dunia wa alaakheera - ningeomba kuwa na sehemu ya kuuliza maswali kwa wageni wa mtandio - ili kupata fafanuzi ya maisha na matatizo ya kila siku inshaalah
 
on 09/08/2007 at 14:48

Akum w w!maustadhi tunafaidika sana na darssa zenu naomba ALLAH azidi kuwapa uzima na afya ili tuweze kuzidi kufaidika na haya kwani UISLAM unazidi kuingizwa uzushi ukizingatia hawa jamaa wanojiita morden islam.
 
on 09/08/2007 at 14:47

asallam alleikhum,mimi nimeisha tuma maswali mawili tofauti kwa wakati tofauti lakini mpaka sasa sijajibiwa hata moja'je nifanye vipi ili niweze kujibiwa?
 
on 04/08/2007 at 14:43

tunafaidika sana na mawaidha yaliyomo,mungu awalipe kila kheri.
 
on 24/07/2007 at 14:42

I am so pleased to come across this website. Praise be to Allah.
thanks to the team that came together for the sake of spreading the word of Islam.
God bless you.
As a Muslim leaving in a non Muslim area and a country that is not home, this website makes me feel home and secured at all times.
Praise be to Allah.
As Salaam Alaikum.
 
on 20/07/2007 at 14:40

Asalaam Aleykum,
Naomba sana tovuti yetu tukufu ya Alhidaaya katika kipindi hiki cha mwezi wa rajab mpaka Ramadhani muweze kutupa aya za kutuelimisha mambo ya kufanya kwa sala,sunah na yote yaliyomema na na waasa waislam wenzangu wote baada ya muda wao wa kujitafutia riziki ukisha basi tumia muda mwingi kwa kusoma mambo mengi ya dini yetu tukufu ya kiislam kuliko kusoma nakuangalia mabo ya kishetwaan katika website zingine,
Wasalaam
 
on 20/07/2007 at 14:39

Salam Aleykum,
It's an honor to have this website, especial us young muslim. Inshallah Allah (S.W) atawaongezea mema hapa duniani na kesho akhera.
thanks
 
on 17/07/2007 at 14:38

Allamdullahi napenda kuchukuwa nafasi hii ya kumshukuru ALLAH kwa kunipatia nafasi hii ya kutembelea webb hii.Nimevutiwa na mpangiliyo barabara. Ningependa masheikh kutuongezea mawaidha ya sheikh muawiya. na nawapongeza kwa wahusika wa watayarishaji wa mtandao huu, Nawaopea Mungu awajaze imana na Maghifira hapa duniani na Aghera.
 
on 13/07/2007 at 14:36

asalam allikum ww mungu awazidisheye
 
on 28/06/2007 at 14:35

asalaam aleykum.natanguliza shukran zangu kwa kuanzisha site hii ya ALHIDAAYA coz tumejifunza mengi.ila nilikuwa na ombi,hili ombi linahusiana na sisi dada wa kiislamu,kwa nini musianzishe upande wa urembo na picha za mavazi ya mwanamke wa kiislamu,sababu hii itasaidia sana kufundisha na kuelimisha vitu halal vya kutumia,kuliko kwenda salon ambazo siku hizi ni za unisex.mchanganyiko wa wanawake na wanaume,natumai mutalifanyia kazi ombi letu,shukran/
 
on 26/06/2007 at 14:32

A/S
Shukran zote anastahili ALLAH(SWA) kwa kutowezesha kuwa hapa duniani na kujitahidi
kufwata maamrisho yake. Na la pili ni kuwashukuru
watayarishaji wa mtandao huu wa Alihidaaya.Na tunawaombea Maghifira na pepo kwa ALLAH SWA.Ningependa mtuwekee mawaidha ya Sheikh Nurudin(kishi)kama itawezekana.
 
on 21/06/2007 at 14:31

Asalaam Aleykhum,ndugu zangu waislamu mabibi na mabwana,kaka na dada zangu.kwa hakika natoa shukurani zangu za dhati kwa wanaoendesha tovuti
hii ya Alhidaaya kabla ya hapo nilikuwa siifahamu lakini kwa uwezo wa Allah ameniwezesha kuijua na ninapenda kuitembelea sana tovuti hii kwa kusoma mambo mengi ya dini yangu tukufu ya kiislamu ambayo mengine sikuyajua. Nakutakieni kila la Kheri na Allah awape kila uwezo na afya njema muufikishe ujumbe huu kwa kila mtu hapa duniani na inn'shallah malipo yenu mtayapata.
Wabilah Tawfiq.
 
on 20/06/2007 at 14:30

Assalaam alaikum,amma baad.napenda kuchukua fursa hii kumshukuru mola na kumtakia rehma kipenzi chetu(S.W.A).pia napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa uongozi na wahusika wa Alhidaaya kwa wakati wenu na juhudi zenu kutuwezesha kujifunza dini yetu na kufaidika huku tukiwa majumbani.tunamuomba mola awazidishie elimu na mioyo ya imaan ili nasi tuweze kufaidika.wabillahi taufiq.
 
on 19/06/2007 at 14:29

Assalaam Alaykum... Alhamdulilah.. Baada ya kumshukuru Allah(sw) na kumtakia Rehma Kipenzi chetu Muhammad(saw)... Natoa shukrani za dhati kwa uongozi wa Alhidaaya kwa email yao walioniletea.. ama hakika nimefurahi sana.. Nawatakia kila la kheri inshallah.. Allah awape barka,amani na rehma zake inshallah.
Leo narudi na maoni mengine ya kuwataka kila mmoja kati yetu anaetembelea na kufaidika na tovuti hiii basi tuchukue jukumu la kuwahamasisha na kuwashawishi wenzetu wote ili na wao wawe wanatembelea tovuti hii ili wafaidike,hii itasaidia viongozi wetu kupata nguvu ya kuzidi kuiendeleza tovuti hii na kubwa zaidi itasaidia kuuongoa umma uliopotea ambalo ni jukumu la kila mmoja wetu.. Allah atatufanyia wepesi inshallah.
Wabillah-taufiq..
 
on 18/06/2007 at 14:27

as.kum naomba nipate jibu la swala hili muhimu kwangu mimi nimejiunga na ah-hidaaya kila ijumaa napata habari mashallah nzuri nzuri lakini.niliwahi kuuliza maswali yangu ambayo kweli nahitaji kujua ili hwenda ikawa nakosa lakini sijijui lakini mpaka leo sijapata jibu jee nitume maswala hayo tena kwa njia gani??naomba msaada wako.
 
Messages : 1361 to 1380
Page : 69
Number of messages : 1549