Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 141 to 160
Page : 8
Number of messages : 1549
1 ... 3-4-5-6-7-8-9-10-11-12 ... 78
on 16/09/2016 at 12:51

assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh Allaha awalipe kwa juhudi zenu za kutupa faida na ilimu kwa njia ya mtandao allah awazidishie ktk vile mnavovitoa kwa ajili ya kutaka radhi zake
 
on 15/09/2016 at 04:15

ASALAM ALAIKUM NDUGUZETU ALHIDAAYA KIUKWELI TUNAMSHUKURU ALLAH KWA JITIHADA ZENU ZAKUELIMISHA UMMA KWANI MSINGI WADINI YETU NI ELIM. ALLAH AKUZIDISHIENI ELIM NASI TUZIDI KUELIMIKA, AAMIN.
 
on 12/09/2016 at 13:17

JAZAKUMULLAU KHEIR
 
on 07/09/2016 at 12:54

namshukuru sana allah subhanahu wataala kupata nafasi hii ya kuandika maoni yangu. tunawashukuru sana na kuwaombea dua wote waliohusika kuiandaa AL HIDAYA na kuisambaza ulimwenguni kote,na mumejitahidi sana allah awalipe kheri kwa hilo
ama maoni yangu nikwamba hakuna zuri likosalo mitihani,na miongoni mwa mitihani ya watu wa sunnah ni kutukanwa kila sehemu na wale wapinzani,na miongoni mwa matusi makubwa ni ku watukana mashekh wa kisunna Mimi nnachoomba tupatieni orodha ya vitabu vyote vya mashekhe wetu kwani wanaotukana hunasibisha na vitabu vyao,ili tujui kua kweli ni vitabu vyao au wanavibuni,hasa vitab vya ibn baaz
 
on 06/09/2016 at 12:54

Asaalamu alaykum jazakum laah khairay
 
on 04/09/2016 at 19:19

Mashallah, jazaakumu LLAHU KHAYRA,
mafunzo yanayo patikanwa ni mazuri
namuomba ALLAH AWAJAALIE KILA LA KHERI
 
on 02/09/2016 at 07:48

Ahsante: mwenyezimungu awaongee kheiry kwa kutuelemisha
 
on 25/08/2016 at 05:13

Napongeza al hidaaya kwa mafunzo yake
 
on 18/08/2016 at 12:35

Assalmu alykum warahmatullahi wabarakatu! Ndugu zangu katika imani tunawashukuru sana na Allah Awajaze kila lenye kheri nanyi na awasahilishie nyie na sisi njia ya Hannah
Amiin
 
on 18/08/2016 at 08:22

Mpo vizurin sana mnatuelimisha vizuri kujifunza kupika ahsanteni
 
on 17/08/2016 at 06:03

Assalam alykum warahmatullah wabarakatu.Thanks my dears in Islam,my comment is as follows.
"When you quote anything from Qur'an or hadith,please write it as looking in arabic language then give out its meaning.
 
on 16/08/2016 at 16:38

thanks for good teachings
 
on 16/08/2016 at 14:48

Alhamdulillah ishaallah Mungu atawalipa kwajuhudi yenu ukweli nimesoma mengi nabado naendelea kusoma mengi kutoka kwenu naomba hilo darsa munalotupa musije mukaliondosha kwanifaida nilioipata nikubwa sana ukweli imani bila yajuhuni sirahisi kupatikanwa ishaallah Mungu atukubali na atufahamishe zaidi
 
on 15/08/2016 at 15:13

Assalam Alaykum Warahmatullah
Team Alhidaaya hongereni sana
Ila maoni yangu ni kwamba mfanye hima tupate na application ya hii website ili iwe rahisi kuaccess Alhidaaya
Shukran
 
on 12/08/2016 at 12:14

Assalaamu Alaykum,Jazaakumullahu khayra
 
on 10/08/2016 at 21:47

Asanteni sana kwa kutufumbua macho katika kuyafaidi yale mazuri kwetu hapa duniani kesho ajhera Allah akulipeni kile mlicho kitarajia
 
on 22/07/2016 at 15:39

Allah aibariki timu alhidaaya
 
on 20/07/2016 at 05:46

Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh wa barakaatuh,
Natoa Shukran zangu za dhati kwenu kwa masomo mbalimbali.

Allah Awajaalie kila lililo la khery na Awaepushe kila la shari,
AAMIIN YAA RAB.
 
on 18/07/2016 at 10:48

Asalamu aleykum, Allah awajaalie kheri
. Aamin
 
on 12/07/2016 at 04:08

Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh,Alhamdulillah kwa kuijua alhidaaya nimejifunza mengi Allah awalipe khayra kwa kazi hii duniani na akhera,amin.
 
1 ... 3-4-5-6-7-8-9-10-11-12 ... 78
Messages : 141 to 160
Page : 8
Number of messages : 1549