Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 1401 to 1420
Page : 71
Number of messages : 1549
on 02/03/2007 at 14:08

asalam alyakum warhamatullahi wabarakatu.
sifa zote anastahili ALLAH SUBHANA WATAALA MWINGI WA REHMA NA MWENYE KURAHAM.
napenda kutoa shukrani kwa wote wanashiriki kukamilisha tovoti hii kwa kuwa kama waislam tunafaidika sana na tunajifunza mengi nashkuru kwa kupata jibu la mtoto kulia usiku ALHAMDULILLAH tokea mmenitumia dua za zinazostahili kusomwa usiku na kwa uwezo wa ALLAH mtoto hanisumbui tena na analala vizuri. ALHAMDULLAH
 
on 20/02/2007 at 14:07

A/s
Ningependa kuchukua nafasi hii ya kumshukuru (ALLAH)SWA, kwa kuniwezesha kuingia ktk mtandao
huu, kujua mambo mengi zaidi kuhusu dini yetu ya kislam.La pili kuwashukuru watayarishaji wa Alhidaaya na kuwaombea dua kwa
ALLAH awawezeshe kuuzidi kutuelimisha ktk dini yetu na Mungu awape maisha bora hapa dunia na akhera.la tatu naomba mtuongeze mawaidha ya sheikh nurudin kinshi na kipoozeo.
 
on 17/02/2007 at 14:02

Assalaamualeikum,

Hakika shukrani zote anastahiki ALLAH subhanahuwata'ala , baada ya kuingia web hii ya al hidaya nili furahi sana, kwasababu kuna mambo mengi sana ya kumfaidisha muislaam ambaye anaupenda uislaam wake, baadhi ni kama vile MAKALA ZA IJUMAA,
QUR'AN,MUHADHARA, nk.

lakini kuna vitu vingine sijsviona kwenye web hii
kama vile ISLAMIC LINS za kiswahili.
kwasababu ni muhimu sana kwa sisi na wliyo nje ya nchi
 
on 12/02/2007 at 14:00

Asalam aleykum
Asanteni sana kwa mawaidha na hadithi kwani mmetufanyia wepesi wa kujiendeleza na kujikumbusha majukimu yetu kama waislam. Inshala Mwenyenzi Mungu awape afya na uzime mzidi kutuelimisha.
Waalekum salam
 
on 12/02/2007 at 13:59

Asalaam `alaykum warahma tullahi-wabarakatu.Kwanza kabisa namshukuru Mwenyeezi Mungu kwa kutuwezesha na kutujaalia kujuwa wapi pakuchukuwa dini yetu hii ya {kiisilamu} kwa usahih wa Qur-an na sunna,Kwa maana hii ndio
main point,Na tunawashukuru ndugu zetu hawa walioanzisha mtandao huu kwa ikhlas na juhudi za hali ya juu na Mwenyeezi Mungu awalipe kwa hili inshaallah. Jengine ni kuwa hasa katika ulimwengu huu wa sasa kuwa kumezuka makundi {madh-hab} mingi na hayo yote yanajita kuwa waislam na yanafata itikadi sahih.Kwahiyo huu ni ufunuwo kwa wenye kutafakar na wenye kuipenda dini yao na kuijuwa kamavile Mwenyeezi Mungu alivyo mtuma saydna -jibril kumfikishia mtume wetu muhammad {salallahu `alayhi wasalam} na yeye kuwafikishia ...na sisi mpaka hii leo. Namuomba Mwenyeezi Mungu awajaalie wote ufahamu mzuri na mapenzi ya dini yetu hii sahihi ya uislam na mafundisho yake na wote walio shiriki kwa juhudi zao AMIN

ASALAM`ALAYKUM
 
on 10/02/2007 at 13:58

Assalam Alaikum

Ndugu waisilamu, hii ni kazi nzuri sana na Allah awazidishie, ninachowaomba ni huko tu kujitahidi kudhibiti viruses zisiingie kwenye computer nyengine wanapobrowse websiet hii Tukufu. Pia ningependa kuona makala nyingi za Elimu hasa elimu ya Kur'ani, Sunnah, na visa vya Mitume na Masahaba kuliko hizi makala za hujuma kati ya madhehebu, sisi tuliolelewa hapa Oman mambo haya kidogo hatuyafurahii.

Umuman hii ma shaallah ni kazi nzuri na Allah atawalipa kila la kheri, amiin!

Wenu Harith.
 
on 09/02/2007 at 13:57

HONGERENI SAAANA AL HIDAAYA TUNAENDELEA KUELIMIKA KUPITIA WEB YENU TUNAAMKA KWELI KWELI AHSANTA SAAAANA.
 
on 30/01/2007 at 13:56

Asalam Aleikum,ama baada ya salam namshuku Allahsubhanahu wataala kunijaaliya kuipata hii Alhidaaya.com, ombi langu kuu ilikua naomba kujiunga na chama chenu hiki kizuri maana kuna faida nyigi ndani yake.wahatha Asalam Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu.fii aminillah.
 
on 27/01/2007 at 13:54

MWENYEZI MUNGU AZIDI KUWAONGOZA MNAOANDIKA SITE HII NA PIA NA SISI WASOMAJI.
MWENYEZI MUNGU ATUSAMEHE MAKOSA YETU
 
on 19/01/2007 at 13:53

Asalam alaikum,

Just wanted to drop in a note of encouragement and appreciation for all the work that I KNOW goes on, around the clock, to keep the web site updated...
Yet it's original and more importantly has correct, authentic teachings.

Definetely, one of my favorite sites.... and at the rate it's going it surely will be in many, many, many years to come, InshaAllah.

Sometimes I can't even keep up with the number of mawaidhas, articles, etc that are being put on the site... but i guess that means i have to read a little bit faster!!!

Keep up the excellent work.... and the InshaAllah you'll reap the benefits of the hard work in Jannah...
Always in my prayers.
 
on 17/01/2007 at 13:52

Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh; ALHAMDULILLAHI RABBIL ALAMIYN naendelea kuwamiminia sifa na shukrani ndugu zetu wa Alhidaaya kwani kufikia hadi kutafsiri kitabu cha Swahiyh Fiqhu SUnnah si kazi ndogo. Nawaombea muendelee kutafsiri hadi tammati ya kitabu chote. Tunawaombea radhi zake Allah pamoja na wanaojifunza kupitia ALHIDAAYA Mabrook to all........
 
on 28/12/2006 at 13:48

assalam aleykum

Mabrouk mabrouk alhidaaya
kwanza ni shukraan nyingi sana kwenu kwa kuzidi kuiboresha web yetu hii ya alhidaaya.kwakweli nimeona mabasdiliko mengi sana yanayo zidi kuipendezesha website yetu hakika nawaombea dua M'mungu awawezeshe kugundua vitu na mambo mbali mbali katika uislam wetu.hakika nimefurahi sana kwa kwa kuweza kuwajibika na kuitangaza dini yetu inshaallah mungu atuwezesha na awalipe hapa duniani na khesho akhera

inshaalah mungu atatuwezesha
 
on 18/12/2006 at 13:47

Assalam alaikum Warahmatullahi Wabarakat.

Sina la kusema isipokuwa Mwenyeezimngu awape uweza zaidi wakufanya kheyrat mfano wa kheyrat hii.

Mumefanya jambo muhimu sana, na pia nimefurahi sana kwa kuwa twaeza ku(download) na pia kusikiliza majumbani na ndani ya magari.

Wallahi anae jua ni Allah vile hii site ina saidia. WaBillahi Tawfiq
 
on 08/12/2006 at 13:43

Assalam Alaikum,

Ninao furaha kubwa sana kupata unuwani wa mtandao hu. Kwa kweli sina mengi ispokua tu kuwaombeeni dua M.Mungu akuzidishieni kila la kheri maishani mwenu. Hu Mtandao unawo faida kubwa sana. Jazakum Allah Khairan.
 
on 03/12/2006 at 13:41

a.aleikm.nawatakia kila la kheri.
 
on 02/12/2006 at 13:33

namshukuru m,mungu kwa kutoa shukrani zangu kwa kila aliyeweza kuunda hii web mungu ndiye atakayewalipa juu ya juhudi zenu kwani tunafaidika sana kwa hii dini yetu tukufu. Jaza yenu ipo kwa mola. AMEEN.
 
on 01/12/2006 at 15:38

Assalaamu 'alaykum yaa ahlal Hidaaya
Alhamdulillahi Wasswalatu Wassalaamu 'alaa Ashrafil Anbiyaa
Amma ba'ad
tunamshukuru Allah kwa juhudi zenu mnazo zifanya za kutuelimisha kwa njia nyepesi na nzuri ya website yenu ya Alhidaaya ambayo ina ma'alumati mengi yaliyo sahihi yenye faida
sisi hatuna cha kawalipa ila kuwombea du'aa Mwenyeezi Mungu awajaze kila la kheri na awape nguvu muendelee kutuelimisha Allah asiwanyime ujira nyinyi na sisi wasomaji AMIYN
 
on 30/11/2006 at 15:37

MashaAllah, sina yakusema kwani yote yashasemwa na InshAllah Mungu atawajaza mema kwa mtandao huu wenye mafunzo na unaolemesha.
Ahsanteni sana
 
on 23/11/2006 at 15:34

A.a ndugu zangu tufanyeni bidii inshaallah ndugu zetu waislam pia wapata website hii hata walio mbali na Africa inshaallah.na twashukuru au tunamshukuru aliefungua website hini mungu inshaallah atafungulia mema yeye na jami yake inshaallah na tuwe watu wenye roho kama hizi inshaallah.Asalamu aleikum
 
on 11/11/2006 at 15:30

Assalamu alaykum ndugu katika Uislamu; Shukrani zote ni zake Subhanah kwa kuwawezesha ndugu zetu kuweza kuanzisha na kuendeleza mtandao mzuri wenye manufaa kama huu. Kwa hakika mtakubaliana nami (baada ya kuipitia) kuwa imejumuisha mambo mengi kuhusu Uislamu. Sijui ndugu zangu tutaenda kujibu vipi mbele ya Mola kwa kukosa elimu. Kwani elimu imekuwa rahisi kuipata lakini tunajidai kuzongwa na mambo yasokuwa na manfaa kama michezo, nyimbo hata kuhifadhi klabu nzima za mpira wakati ukimuuliza kuhusu watoto wa Mtume (SAW) basi hawezi kukupa jibu. Alhidaaya inatoa muongozo kwa mtu binafsi, jamii yake na dunia kwa ujumla. Nawashauri muipitie kwa makini mtandao huu, namna ya kuwatuliza watoto, kuwafundisha. Darsa zote zimo humu. Waalaykum salaam
 
Messages : 1401 to 1420
Page : 71
Number of messages : 1549