Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 1421 to 1440
Page : 72
Number of messages : 1549
on 04/11/2006 at 15:29

S/W. Ndugu zangu watayarishaji za makala mbalimbali za mtandao huu wa alhidaaya.Ningependa
kuwashukuru kwa kazi mlioanzisha za kutuelimisha
dini yetu hii ya kislam kwa njia iliorahisi.Tafadhalin tuomba mturudishie mawaidha
ya audo tape ilituweze kujasikiliza maana kama sisi tuliombali tunakua rahisi kuyafatilia kwa karibu ilmu ilyondani mwa dini yetu,Tunajua ni watu wachache ndio waliyofanya udanganyifu ambao mpaka sasa haijawanufaisha kidunia na imetuponza sisi ambao atujafanya mdhambi hayo.tunawaombea jalali aweze kuwaongoza njia yaalmustaqum siku ambayo nafsi hayatamsaisia nafsi ingine. jazakaa laau karim.
 
on 02/11/2006 at 15:27

Asalam alykum warahamatullah wabarakatuh mie napenda kuwapongeza sana sana kwa kuweza kubuni kitu kama hichi (website) siku nilipopata hii website na kuifungua na kukuta vilivyokuwepo mashallah nilifurahi na nilifaidika na ninaamini inshallah nitazidi kufaidika, sana mengi nilikuwa siyajui, nilikuwa kila ninaposoma nilikua naacha mdomo wazi, nashukuru Mungu nimeweza kuyajua mengi ambayo nilikuwa sifahamu, Mwenyezi Mungu awajalie kila la kheri hapa duniani na kesho akhera kwa kweli mnaelimisha watu kupiga kiasi. Yaani hata mimi mwenyewe nimeanza kubadilika katika ibada zangu mpaka nyumbani wananishangaa sunna zimeongezeka.
 
on 31/10/2006 at 15:26

Assalama aleykum warahma tu llahi wa barakatu.Shukrani zote ni za Allah(SWT)mwingi wa Rehema mwenye kurehemu.Kwahakika nimefurahishwa sana pasipo na kifani Allahu Yaalam na nimejifunza mengi na bado naendelea kujifunza kupitia website hii.Kubwa la kusema na kuwapongenza ni (JAZAKATUL-KHEYRA).Allah awazidishie kheri na imani pamoja na waislamu wote kwa jumla kwa faida munayo toa ya Ilmu.Mengi nimeyajulia hapa na namshukuru Allah kwa hilo.MwenyeziMungu awalipe kheri na mema ya hapa duniani na kesho akhera.(Ameen)
 
on 30/10/2006 at 15:24

kwa kweli nitakosa fadhila kama sitakushukuruni kwa kusikiliza maoni yangu na kuyafanyika kazi kwa faida ya waislam wote. kwa kweli sasa nasikia vizuri bila ya matatizo yoyote ambayo mwanzo yalikuwa yanajitokeza, ahsanteni. mwenyezi mungu akuzidishieni, pamoja na kuwaletea waislam umoja wa kweli.
 
on 22/10/2006 at 14:22

Nasikitika sana kwa baadhi ya mawaidha hasa visa kutoka sheikh Nasir Bachu, hayasikiki vizuri au kwa maana nyingine yana kwama kwama. sijui tatizo ni nini. kwa siye ambao kwa sasa tuko ugenini (Paris) site hii ni moja kati ya site zinazoturejesha kwa ALLAH, hivyo naomba tatizo hilo liangaliwe na kama kuna ewezekano basi litatuliwe. ahsante.
 
on 22/10/2006 at 14:19

alhamdulillah kwa kuanzishwa kwa website hii na inshallah kwa uwezo wake allah itakuwa ni yenye kutufaisha ktk dunia na akhera na Allah ndie ajuae zaidiţtusiache kukumbushana yaliyo mema na kukatazana mabaya kwani ni jukumu la kila aliye muislam m,mungu atuongoze
 
on 19/10/2006 at 14:18

nice nice
 
on 14/10/2006 at 14:16

Assalam aleikum,Jazzakillah kwa Alhidaaya nimefurahi kupata mtandao huu.nawajulisha waislam kuswali ukiwa umevaa suruali ndefu ni dhambi ikiwa ni mwanamke. kwasababu hili ni vazi la wanaume. Ni HARAM mwanamume kuvaa kike na mwanamke kuvaa kiume. Nawatakia waumin wote Zidisheni Ibadah katika siku chache zilobaki.Wbillah Tawfiq.
 
on 10/10/2006 at 14:15

asalam aliekum namshukuru mungu kwa neema aliyotupa alhamdulillah, maoni yanu ni haya kumuliza (shikh nassor bacho) kama uslamu hakusimama kwa upanga na vili vita mtume(saw) alivopigana alikuwa akiteteya usilamu ama?? natukumbuke musilamu akusilimishwa kwa upanga laki usilam ulismamishwa kwa upanga kama (shikh abud rogo) anavo tueliza sira ya mtume(saw)
 
on 04/10/2006 at 14:13

Kwanza natoa shukurani zangu za dhati kwa wahusika wa chat hii kutupa fursa ya kupata Elimu ya Akhera na mola azidi wapa nguvu, afya, na umri mrefu ili mzidi kuitangaza na kuelimisha waso jua au watakao taka kujua imani ya mola, kwani wajibu wa kuitakasa na kuitangaza imaniya mola ni wajibu wa kila muumini .

Wabilahi Tawfiq
 
on 27/09/2006 at 14:10

As salaam Alaykum... Just wanted to say I just took a BRIEF LOOK at the site and hopefully I plan on cooperating with you brothers in your efforts of spreading the Dawah Insha Allah.

Even though I don't speak Kiswahili, nonetheless I did see quite a few beneficial things written in the English language and I was happy to see that.

The heart always becomes cool with 'Sakinah' whenever we see brothers and sisters trying to make efforts to learn and spread the AUTHENTIC SUNNAH of our beloved al-Mustafaa al-Amin (may the peace and blessings of Allah forever be upon him)!

Allah willing, I will be making some comments and also participating with you brothers on the site in the future.

Until that time, I would just like to continue to encourage you all to 'keep up the GOOD WORK' and to keep to that which is AUTHENTIC and KNOWLEDGE BASED!

I ask Allah to bestow His Baraakaat and Rahamaat upon all of us in this blessed month of Ramadan 1427 H.
 
on 24/09/2006 at 14:02

NIMEFURAHI SANA, KUPATA WEBSITE HII. KILA MWISLAMU ANAFAA ASIKIZE, NA KUSOMA. HONGERA
 
on 10/09/2006 at 14:00

maulidi ni bidaa au si bidaa
tafadhali unijulishe kama nisawa
 
on 07/09/2006 at 13:58

ASLAAM ALEIKUM: Nampongeza sana aliye anzisha mtandao huu kwani ni muhimu sana kwa waislam na wote wanaopenda dini kwani unaelimisha watu kwa lugha nyepesi kabisa.
 
on 24/08/2006 at 13:57

asslamaleikum warahmatullah.amma baad ni neema moja kubwa kupata faida ya dini ya kiislam katika mtandao huu.hii yote ametujaalia yeye allah kuwapata masheikh na wanachuoni wa sunna kuweza kuwasilisha daawa yao kupitia mtandao huu.
allah awatunukie na awalipekila walioleta fikra na kuanzisha mtandao huu.ameen.
 
on 05/08/2006 at 13:55

Asalamu Aleikum Warahma Tullaah Wabarakatuh?

Kuna mambo mingi sisi kama waislamu tunafanya bila kuzingatia kwa ukosefu wa elimu ya dini yetu, kwani Halal iko wazi na haramu iko wazi. Sisi hufuata dini za wazee wetu sana bila ya kutaka kujua Mtume wetu ametufundisha nini kuhusu Qur'an na Sunnaah zake, na alituahidi kama tutafuata haya mawili basi maisha yetu yatakuwa ni wenye kufuzu, Duniani na Akhera. Ya Rabbi tujaalie na elimu na utupe fahamu ya elimu Qur'an na Sunnaah. Ameen. MashaAllaah ndugu zetu hawa wanafanya kazi mzuri kabisa, Allaah awazidishie bidii yao na malipo ni kutoka kwake. Wasalamu Aleikum
 
on 03/08/2006 at 13:53

Bismillah Rahman Rahim.ningependa kutowa shukrani zangu kwa wote wanaohusika katika alhidaaya,mungu atawajazi mema hapa duniani na akhera.what you are doing is special to all muslims.thanx
 
on 22/07/2006 at 13:51

Asallam,Aleikum.kwanza napenda kumshukuru Allah,na kumtakia amani Mtume wetu.Muhhamadi rasullaha.Napenda kuipongeza hii web site kwa kutuelimisha,Elimu ambayo tumeikosa muda mrefu.Nawatakia kila la kheri waandaji wa hii web site.waendelee kutuelimisha.Inshallah.
 
on 16/07/2006 at 13:50

Assalam Allaykum
naomba mujitahidi kufikisha kwa kutoa majarida / magazeti ili wale wasio na uwezo wa internet wapate ujumbe ulio kusudiwa liwe la kila wiki na bei naf***wani hiyo itasaidia kufikisha ujumbe wa ALLAH sehemu za mbali
zisizofika mashekhe
W'TAUFIQ
JAZAAKUMU LLAAHU KHAIR
 
on 12/07/2006 at 13:48

asalam alaykum, tunashukuru kwa fikra na jitihada za kukusanya maalumat kwa faida ya wengi, mola ndie mjuzi na mwenye kulipa mema kwa waanzilishi.Vile vile mola huyo huyo kwake ndipo tunapotegemea pepo Insha'allah. Keep it up!
 
Messages : 1421 to 1440
Page : 72
Number of messages : 1549