Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 1441 to 1460
Page : 73
Number of messages : 1549
on 11/07/2006 at 13:46

A/ALAIKUM B/SISTER
waislamu waishio SLOUGH wanafura kualika waislamu wote ijtimai 15/7/06 j/mosi saa 5 asubuhi hadi 3usiku hapo mskiti wa diamond /diamond road/TE 07961269525
kufikisha ujumbe kwa watu 7 inatosha kuwa nisadakayako
wabillah taufiq
 
on 03/07/2006 at 13:44

Nimefurahi sana kuona website hii...haya ni majaaliwa ya mwenyezi mungu kwa waja wake..kuwapa uwezo kufikiria na kuanzisha hii website ambayo ina manufaa makubwa kwetu sisi waislamu kitu muhimu ni kuendelea na kazi hii bila kuchoka maana kila mwenye kufaidika na mawaidhaa haya thawabu yake inakururudieni nyiyi pia muliokuwa sababu ya kheri kwake..
mola atupe nguvu na umoja**i waislamu wote.
 
on 26/06/2006 at 13:42

Assalamu aleikum,mengi wameshayasema wageni wenzangu walionitangulia,kuhusu site hii ambayo ni MUHIMU sana kwa kila muislamu na ambae sio muislamu pia anaweza kufaidika na mambo mbali-mbali ya dini yetu ambayo ni dini ya amani na rahma na unyenyekevu na ubusara na uadilifu na haki na ushujaa wa kutokubali dhulma itendeke popote.Mwisho ninawaambia wote waliohusika na fikra ya kuiunda site hii na wote waliohusika kwa njia yoyote ile mpaka site hii ikawa katika hali hii ya ubora na mafanikio-JAZAAKUM ALLAH KHEIRUL JAZAA. Shukran.
 
on 19/06/2006 at 13:18

Assalamu Aleykum I want to express my sincere appreciation of your work on this web-site propagating Islam. May Allah reward you all! And we pray to Allah to enable us make our contribution! Ameen
 
on 07/06/2006 at 13:16

Bismillahi Rahman Rahim !!!
Kwanza naanza kwa kutowa shukrani na pongezi zangu nyingi kwa waanzilishi wa hii Website kwa bidii yao kubwa na jitihada zao ambayo ni faida kubwa kwa**i na yule anaye soma kwa nia na lengo la mazingatio na ukumbosho !!! Qur'an yatuelezea " Fadhakir, ina dhikra tanfaul muuminin'' kwahivyo, sisi tuliokuwa mbali na daawa,, huwa twafaidika sana na tumeelimika sana kupitia Tovuti hii,, Inshaalah Mngu atawajazi na pia sote waislamu... '' Amin
 
on 01/06/2006 at 12:52

ASSALAM ALAYKUM,
Shukrani zimwendee ALLAH (S.W) aliyetupa neema hii kubwa (Alhamdulilah),salah na amani zimwendee Mtume Muhammad (S.A.W).
Pongezi za dhati kwa Alhidaaya kwa kazi nzuri wanao ifanya kwani huu ni wajibu wa kila Muislam kutumia NGUVU,MAARIFA,VIPAJI(NEEMA) alizotupa ALLAH(S.W) katika kuelimishana,kukumbushana,kamrishana mema na kukatazana mabaya.
Haya si majukumu ya Alhidaaya pekee bali kila mwenye uwezo wa kufanya hili au kuielimisha jamii ya kiislam inabidi afanye hivyo.Na kupuuza basi tutaulizwa juu ya NEEMA tulizopewa.
 
on 28/05/2006 at 12:50

Bismillah Rahmani Rahim
Assalaam alaykum warahma tullahi wa barakatu
Kwa wahusika wa Alhidaaya napenda kutowa shukurani zangu mimi na familia yangu kwa juhudi yenu, kwa kutuletea mawaidha, na kwa lugha ya kiingereza. Jazakum allah khair Mungu akulipeni kila la kheri duniani na akhera inshallaah
 
on 26/05/2006 at 12:48

Asalam alaikum,

Thanks a million for all the effort that you all are putting into this website. Although i don't think we (the visitors to the site) can thank you enough for the effort, hard work and time spent for a worth while cause. You all will remain in my prayers & duas.

I have seen alhidaaya grow, grow and grow.... everyday for the better.... and i'm pretty sure it will continue growing, inshaAllah.

the reason i'm writing this time is to THANK YOU ALL ONE MORE TIME for the english lectures.... You definetely have made my day!! makes me have something to look forward to..... I hope that collection gets larger as the days go on.

thanks again.
 
on 12/05/2006 at 12:47

Assalam aleykum, ningependa kumshukuru M/mungu kwa kuwaezesha ndugu zetu wa alhidaaya kuja na website ambayo inamanufaa makubwa katika mujtamaa wa kiislamu.Inshallah jaza yenu ni kwa ALLAH. SHUKRAN WASSALAM ALEYKUM
 
on 30/04/2006 at 12:45

Assalam aleikum. Ningependa kutoa shukrani zangu kwa watayarishaji wa mtatandao huu wa Alhiidaa.
Leo kama**i wachache tulio mbali na nchi za kislama, mtandao huu tunaitegemea kama kioo ktk maisha yetu,kama mfano mawaidha na khutba za kila ijumaa ni muhimu sana kutukaribisha karibu na Mola wetu.
 
on 24/04/2006 at 12:43

mashaallah na jazzakallah kwa hii website ambayo mumetuwekea kutuongezea ilmu na mafundisho mazuri kabisaa na ALLAH S.W awazidishie kila la kheri ameen

sister in islam naseem
 
on 24/04/2006 at 12:42

Maoni yangu ni kutaka kuwashukuru nyie waandaaji wa hii tovuti, kwa upande wangu nawashukuru sana kwani mmenisaidia sana nimejifunza mengi kutokana na tovuti hii, nilikuwa**ali kwa**a nasali sana hata kwa swala tano. Mwenyezi Mungu awabariki kwa kuwa mmeinusuru roho yangu.

Ahsanteni na kazi njema. Naweza kuuliza swali kutpitia ukurasa huu? Asalam Aleykum
 
on 22/04/2006 at 12:40

Assalam alykum warahma tulwah abarakatu kwawale wenye kuhusika na maelezo haya ,kwaza kabisa sina budi kumshukuru mw/mungu kwa kutujalia kuwa waisilamu na kutupa uwezo wakuyatekeleza yale aliyo tuamrisha .kama kutakuwa na uwezekano wa kumuengeza shekh alimaruhmu Abdulhayati katika wasomaji wa qur-an ishaalwah
 
on 17/04/2006 at 12:38

Ay'Yuha l'likhwaan fil'Liyman

Assalaam A'laykum War'Rahmatullah Ta'ala Wabarakaatuh.

Dear Ikhwaan fil'liyman I have some as whatever you call it but I think it is a comment if is not some qestions regarding to our web (alhidaaya.com)

Fisrtly; I would like to here from you reasons of why we can not Downloading some Da'wa(Mawaidha) from the site?

Regards to internet service here in town is a real bit expensive, we preffer to download some lectures and other issues and then burn them to the CD's so that we can listen while we are at home together with the wholly family. For real situation the internet charge per 15 minutes is five hundred Tanzanian shilling something we can not afford according to daily income.

Secondly; Would you make it possible for fast/quick Downloading?


Yours in iyman

Adnan Khalid
 
on 13/04/2006 at 12:36

Assalam Alykum,
Inshallah natumai nyote wazima na Allah awape kila la kheri.........
la muhimu ni kuwa hi website ina zingatia upande mmoja tu wa sheria na wala hamuzingatii maoni ya wana sheria wengine.............tafadhali muki andika makala yoyote kuthibitisha kitu andikeni kubainbisha sababu zake......,
kama hi makala ya kuhusu kusherekea mawlid ukht ameandika kua mtume(s.aw) hakusherekea kuzaliwa kwake je hi ni hoja tosha .......
sasa watu kama**i awwam munatuchanganya sana ..........
kwa hiyo lizingatiyeni sana .........au musi zungumzie khilafu yoyote mpaka iwe wazi wazi..
shukran.
 
on 22/03/2006 at 13:33

Assalam_alykum,
kwa jina kama nilivyojitambulisha naomba kujiunga na Alhidaaya kwa kuuliza masual naomba kama nitaruhusika naomba mnijibu kwenye Email yangu.Ahsnte
 
on 14/03/2006 at 17:27

Asalamu alayakum warahmatullahi wabarakatuh. kazi nzuri sana Allah awatie nguvu isirudi nyuma vita mbele ujumbe unafika.
Allah alipe wale wote wanaoshiriki kufanikisha mtandao huu JANNATUL AL-FIRDAUS.
Na wale wote wanaoipiga vita Allah awaongoe awaonyeshe njia ya sawa. Ameen.
 
on 11/03/2006 at 18:35

natunguliza shukurani zangu za dhati kwa mola mtukufu kwa kuutieni moyo wa imani na kuanzisha mtandao huu ambao kwa kweli umetusaidia sana kwa mambo mengi ya ilimu katika kujua dini yetu mwenyenzi mungu ishallah atakulipeni kwa hili na mingine yote ya kheri mnayoyafanya kwa ajili ya ndugu zenu waisilamu
wabilahi toufiq
 
on 10/03/2006 at 18:33

Allah (SWT) awape jaza yenu kwa kuanzisha mtandao huu uliyojaa kheri tupu.
Mtandao huu unafaa kuwa "Home page" ya kila Muislamu.
 
on 10/03/2006 at 18:32

Assalam aleykum warahmatu llah taala wa barakatuh
Napenda kutoa shukrani za dhati kwa wote washiriki
katika kuandaa hadi kutufikia siye wasomaji, nahakika Mwenyezi Mungu yu
pamoja nanyi na shukuru sana hakika daawaa inatufikia vilivyo... tunasoma
na kupata mwanga mzuri kuhusu dini yetu...Nawaombea kila la kheri na
Mwenyezi Mungu awazidishie na kuwaongezea moyo kama mlioanza nao.
Wabillah Tawfiq.
 
Messages : 1441 to 1460
Page : 73
Number of messages : 1549