Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 1461 to 1480
Page : 74
Number of messages : 1549
on 09/03/2006 at 18:26

aslam alekom
MWENYEZI MUNGU(S.W) awalipe malipo mazuri kwa juhudi muliyoifanya,
maoni yangu ni kuwa muongeze page ya links kwa mfano www.allaahuakbar.net
wana database kubwa na wamechambua mambo mengi ya kisunna na wanazuoni
kuanzia maimamu,wahab,albani, na wengine wengi.
hiyo website ni mwaka watatu tangu niipate lakini bado sijaimaliza
kwasababu n kubwa mno.

i will be more than happy if other fellow muslims access the site through
you it will be good for all muslims
fi amanillah
 
on 25/02/2006 at 18:23

Asalamu Aleikum?

MashaAllaah mtanda huu unao mwamko mzuri wa Qur'an na Sunnaah, inshaAllaah
ukitaka kujua dini yako Allaah swt atakutilia Baraqa. Ewe! Mwenye-ezi-Mungu
tujaalie sote tuwe imara katika njia iliyo nyooka. Ameen
 
on 18/02/2006 at 18:14

Assalamu aleykum
Nashukuru na nimefurahi kwa kuwepo website hii amabayo unafeel very happy
na rahisi kuisoma quraan na kujua mambo mengi ambayo tulikuwa hatujui
mwenye ezi mungu awajaze kila lenye kheri Amin
 
on 14/02/2006 at 18:13

Assalaam Aleykum Walahmatulullah Wabarakatu
Namuomba Allah aendelee kuwapa uwezo, afya, uvumilivu, hekima na kila lile
la kuwaongoza na kuwawezesha kuendeleza na kuboresha haya yote ambayo
mmekuwa mkiyafanya katika Dini yetu hii ya Kiislam na Allah awalipe hapa
duniani na kesho akhera
Amin
 
on 12/02/2006 at 18:11

Salam alaikum,
Kila ninapoingia katika Website hii,hukuta mengi yenye manufaa kwa**i
Waislam,M/mungu awajaze kila la kheri kwa kazi kubwa na nzuri.

Shukran.
 
on 17/01/2006 at 18:10

nshaallah M/Mungu akupeni kila la kheri muendelee na hii kazi Ya Allah
katika kuelimisha umma wa kiislamu...... Amin
 
on 14/01/2006 at 18:09

Nashkuru kwa kutuletea website ya dini yetu.
Nimeisoma na nimefarijika kwa kuyaelewa mambo mengi ambayo nilikuwa
siyafahamu.
Inshallah Mwenyezimugu akujaalieni mzidi kutuelimisha kupitia website hii.
 
on 04/01/2006 at 18:07

assalam alaykum,
nimefrijika sana kupata na kujua habari za matandao wetu huu,kwani ni
mtandao ambao utatuwezesha kujifunza mambo mengi sana yahusianao na dini
yetu, allah awlipe wote wale waliotoa na kufanikisha mtandao huu na atulipe
sote tunaotumia kwa nia safi ya juendeleza dini ya allah,ameeeeeeeeeeen
 
on 03/01/2006 at 18:05

Assalama alaykum wa rahmatul Lhai wabarakaatuh.

Mola atakujaalieni Nguvu na Hikma ya kuendeleza website nzuri ,ya kheri
kama hii.

Maoni yangu ni kuwa muitangaze kwa upana zaidi watu waijue na waisome,nina
hakika wengi wetu hatujui kama kuna website ya khairat kama hii.

Assalama alaykum
 
on 22/12/2005 at 18:04

Asalaam aleikum,

keep up the good work,you work will pay off some day,the site is very
informative and well design.


Said
 
on 18/12/2005 at 17:59

Asalaam Aleykum WRWB,Alhamdulilah wa thuma Alhamdulilah,Inshallwah
MEM,awajazi kula la kheri,uwezo,nguvu,muzidi kuendeleya na shughuli
njema hizi na Inshallwah,awalipe mema zaidi kesho
akhera,pamoja nasisi,ndugu sote waislamu...Amin !
 
on 11/12/2005 at 17:58

Assalaam Aleykum Warahmatu Llahi wa Barakatuh.Hakika Mwenyezi Mungu
atawalipa kheri kwa website hii. Hii ni jihadi ya kisayansi kwa ulimwengu
wetu huu wa kisasa uliojaa ussahaulifu juu ya amri za ALLAH. Mungu awape
uwezo wa kufanya zaidi ili nafsi za kiislamu ziongoke inshaallah.
 
on 08/12/2005 at 17:56

Assalaam Alaykum,
Mwenyezi Mungu Awalipe kila la kheri na kuwazidishia hima ya kuimarisha
Uislamu-Amin.
Pendekezo langu ni kuanzishwa kwa ukurasa wa Dini mchanganuo[Comparative
Religion Studies]ktk tovuti hii.Inshallah,Mwenyezi Mungu Awawezeshe-Amin.
 
on 30/11/2005 at 17:54

salaam aleikum ndugu zangu waslam wezangu.nimefurahishwa na matayarisho
yavindi
vyenu,Mungu awazishie dhawabu na imani.Ningependa
mtuongeze mawaidha ya sheikh Umary Bashir.
shurkuran.
 
on 30/11/2005 at 17:52

Alhamdullilah, namshukuru Allah (SWT) kwa kuwapa uwezo wa kuweza
kutuelimisha**i ndugu zenu waislamu katika njia iliyo njema. Munafanya
kazi nzuri sana, kila kipengele cha uislamu kinapatikana hapa na
tunawashukuru sana kwa kutumia nafasi zenu kutuelimisha nasi na insha'Allah
Allah (SWT)atawalipa duniani na kesho akhera, Wassalamu Aleikum
Warahmatullahi Wabarakatuhu
 
on 23/11/2005 at 17:51

A/ALAIKUM,

nimetembelea website hii nimeipenda sana na yote yaliyomo ndani.

M/mungu awajaze kila la kheri na nguvu mzidi kutuelimisha yahusuyo dini
yetu ya Kiislam.
 
on 17/11/2005 at 17:49

Alhamdulillahi kuniwezesha kuingiya katika mtandao wa
Alhidaaya.com.Naendeleya kunufaika kwa sababu ya roho. Na, sina budi
kuwapongeza wote walishiriki kutuleteya mtandao huu. Tunaelimika kweli,
Allahu Akbar.

Allah awajaze shufaa yake


Wabillahi Karim
 
on 15/11/2005 at 17:47

asalaam alykum.Mwenyezi Mungu awajalie muwe niwakuiendeleza website hii.na
iwe inatangazwa il ifahamike kwa manufaa ya waislam.asalaam alykum
 
on 10/11/2005 at 17:45

AWTW,M/Mungu awajaze kila lililo la heri na awaepushe na kila lililo la
shari wale wote wiliotia fikra ya kuanzisha mtondao huu, pia M/Mungu
asiwasahau wale ambao kwa nia njema watachangia huu mtandao ktk kutoe elimu
sahihi kwa waislamu wote.Tunaomba pia kama mnaweza kutupatia fat`wa za
sas`ala yanayoleta utata kutoka kwa maulamaa wakubwa kutoka sehemu
mbalimbali za dunia.Tunaomba Mola awabariki kwa kila jema mnalofanya.
 
on 08/11/2005 at 17:43

JAZAKALLAHU KHEIR KWA WALE WOTE WALIOITAYARISHA WEBSITE HII. MALIPO YENU
KWA ALLAH INA INSHAALLAH IWE PEPO.
 
Messages : 1461 to 1480
Page : 74
Number of messages : 1549