Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 1481 to 1500
Page : 75
Number of messages : 1549
on 17/10/2005 at 16:42

asalam alaikum warahma tullahi wabarakatum, nashukuru sana kwa kuanzisha
hii web site ukweli inatusaidia sana hasa sie tunaoishi nchi za ulaya
hhuwa tunajikumbusha tunaposa hii alhidaya, huwa pia napenda maswalina
majibu na pia hadithi na visa, inshallah m,mungu akubarikini akupeni kila
lakheri na endeleeni kutuelimisha kwani dunia ya**a ni kufundishana na
kukumbushana yalio mema. inshallah nakutakieni kila la kheri katika kazi
zenu.
 
on 17/10/2005 at 16:40

Alhamdullilah, namshukuru Allah (SWT) kwa kuwapa uwezo wa kuweza
kutuelimisha**i ndugu zenu waislamu katika njia iliyo njema. Munafanya
kazi nzuri sana, kila kipengele cha uislamu kinapatikana hapa na
tunawashukuru sana kwa kutumia nafasi zenu kutuelimisha nasi na insha'Allah
Allah (SWT)atawalipa duniani na kesho akhera, Wassalamu Aleikum
Warahmatullahi Wabarakatuhu
 
on 09/10/2005 at 16:39

A.Alaykum warahmatullah Wabarakatu. Hii site ni nzuri sana haswa kwa**i ambao mawaidha hatuyapati huku kwenye nchi za kikafiri. Inanifungua macho sana na inshaallah jazaa yenu iko kwa MwenyeeziMungu
 
on 03/10/2005 at 16:37

Bismillah Mashallah, Namshukuru Allah kwa kuwawezesha Waja wake kuweza kutufikishia ujumbe na mawaidha ya kiislam, ama kwa hakika Binaadamu tunahitaji msasa kwenye nyoyo zetu zisizokwisha kubadilika kila siku nao ni mawaidha. Mungu awajaalie kila la kheri wahusika wa hii website
 
on 01/10/2005 at 16:33

tuko furahani sana kwa kupata hizi website na kama mnataka msaada wa ilmu au upande wa misomo ya dini tuko tayari
 
on 28/09/2005 at 05:02

Assalaam Alaykum;
Nashukuru kuona tunaweza japo kufikisha ujumbe kwa njia hii ya kisasa zaidi.
Tusaidiane kuitangaza hasa kwa**i tuliopo hapa nyumbani Tanzania kwani kila siku ninaposoma na kuangalia maoni nakuta wengi ni wajuao kiswahili lakini wapo nje ya nyumbani ambapo huko maendeleo yamepiga hatua ukilinganisha na hapa kwetu.
Nina uzoefu mkubwa wa matatizo ya kielimu hapa kwetu kwa kuwa ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Waalimu Wanaosomesha Qur'ani Tanzania (JUWAQUTA)
Maoni yangu ni kuwa:-
1. Itangazwe website hii kwenye vyombo vya habari hasa vya dini ya Kiislam na vinginevyo pia

2. Itolewe elimu ya msingi kwa dini yetu, kuwe na mafunzo ya Nguzo za uislam,Imani na viwango vyake,Udhu,Swala na yale yanayoonekana kuwa ni muhimu kuwasaidia baadhi ambao hata Madrasa hawakupita lakini wana imani na uislam wao

3. Iepuke kabisa kuwa na mtazamo wa mvutano katika Uislam,Siasa za nchi,upinzani wa kiitikadi na mitazamo na iwe ina omba maoni ya kura kwa wasomaji wake nini kifanywe ili iwe bora zaidi kwa maswali hata maoni maalum

4. Isisite kuomba msaada wa yale yanayohitaji Takwimu sahihi toka Ta**i za Dini za nyumbani.

Wassalaam Alaykum
 
on 27/09/2005 at 16:31

Assalamu Alaikum.Na washukuru wale wote walioshiriki kuanzisha website hii yenye manufaa sana.Mwenyezi Mungu awajaze kheri. Great job and keep it up!
 
on 23/09/2005 at 05:01

Assalaam alaikum warahmatullahi taala wabarakatu kina dada na kina kaka wa alhidaaya napendelea kuanza kwa kumshukuru allah (s.w) kwa kuwawezesha kukusanya ujumbe wote huu uliomo kwenye hii website ya alhidaaya ishaallah atawalipa pepo na kuwaongezea rehma zake muweze kuendelea zaidi. Pili naomba kumshukuru shoga yangu mpenzi Lulu kwa kunifahamisha kuhusu website hii mungu awajaalie saana na awape thawabu kila nisomapo na kusikiliza kwenye website hii. naipenda saaana na nnafaidika na kila kilichomo ahsante saana
 
on 19/09/2005 at 04:59

Bismillah Rahmani Rahim,Ninafuraha kubwa ,To Come Across This Website Of Al Hidaaya,Mabrouk ! mabrouk ! Elfu Mabrouk! Dear Brothers and Sisters In Islam,I Have taken Most of My Time Today To See And Read This Beutiful Website Which Teaches Alot About Islam, Wow ! Its Really Wonderful,Believe Me I was Having Alot Of Tension About My Office Work Today Ha! Ha! But when I Came Across This Website And Read Some Du'as Tension Zote Zimepotea**a Roho Baridi Kama Barafu. Mungu Awabariki Kila Aloungana Na Kufanya Maarifa Haya Ya KUfunguwa Website Hii Yenye Dini Na Manufaa ,Inshallah Itufae Sisi Na Tukipata Vizazi Inshallah Iwafae na Watoto Wetu Na Kila Atakae Zaliwa Na Mwenye Kwenda Njia Isiyo Sawa Mungu Amuongoze Kwa Sote AMIN

Maimuna
 
on 13/09/2005 at 04:58

Shukrani zote nizake M/mungu mwingi wa rehema, na rehema na amani zimfikie Mtume wetu Muhammad {SAW}.
Mimi napenda kutowa ushauri kwa wazazi ambao wana mitandao{Internet} majumbani mwao kuwahimiza watoto wao kujifundisha dini kupitia njia hii ya Alhidaaya pia ,kwani elimu inayopatikana hapa ni kubwa sana kama watu watafuatilia ipaswavyo. kuliko kuwaacha watoto wetu wakijishuhulisha sana na "chat room" wakati wanapokuwa kwenye Net.
 
on 28/08/2005 at 04:56

Assalam alaikum, Thanx alot you guys this is a great job you are doing in the name of Allah,Its my first time log in and i find it so impressive.
Encourage our youth to pass the word around about this site.
 
on 23/08/2005 at 04:54

Asalaam aleykum
Namshukuru Aza wa jalah na kutoa pongezi zangu za Dhati kwa Al Hidaaya kutengeneza webcite hii kuwakumbusha waislam waliyopo sehemu mbali mbali Hakika majazo mema mungu awape wenye kumiliki webcite hii Asalaam aleykum wala Khafia wa min Kum
 
on 18/08/2005 at 04:53

aslam-alikum
nimefurahi sana kuiona hiii web site kwani unatufunza sana kuhusu dini yetu ya kiislam na inatuondosha katika fikra mbaya.na pia tunaona kua internet pia hufunza sio kuharibu tuuu na pia nakutakieni mafanikio mema mungu atakujalieni mufanikiwe kila munaloomba.
 
on 14/08/2005 at 04:51

Shukurani zote ni zake mwenyezimungu na rehema na amani zimfikie mtume{saw},mimi nawaomba wale wanaotembelea site hii ya alhidaaya kuwa watu wenye kusoma,kusikiliza, na kufuata, tusiwe watu wa kupuuza kwani tukifanyahivyo lengo la hii website litakuwa halikutimia. Mwisho nawaomba watayarishaji kuzidisha bidii na M/mungu ndie mlipaji wabidiiyao hio.
 
on 10/07/2005 at 04:49

Alhamdullilah,shukran zake m/mungu aliyewawezesha fikra bunifu na kuileta hii web hewani nasi tunafaidika na yale ambayo hatuyajui,pia tunakumbushana kila lililo khery miongoni mwetu .JAZAKALLAHULKHERY.M mungu waongoze zaidi.
 
on 09/07/2005 at 04:46

Kwa jina la Mweneyezi MNGU mwingi wa rehma na amani .

Natowa shukrani za dhati ya moyo wangu kwa wale wote walojipa taabu kwa kazi hino ngumu ya kuweza kuisimamisha website hino.

MNGU awaji kheri na kuwapa killa mulitakalo katika duniya hino maana killa tukisoma na kupata manufaa ni thawabu kwenu mwapata .
Hussein Abbas
Mombasa, kenya
 
on 06/07/2005 at 04:44

Asalam Alaikum, Mashallah!!! hongera, kwa site yenye mafunzo ya kiislam, na kutuwezesha kupata mafundisho muhimu. Mashallah, mapishi mazuri pia kwetu sisi kina mama. KEEP up, and may Allah reward all the people involved for their efforts and time. Inshallah. Wa salam alaikum
 
on 28/06/2005 at 04:43

A.Alaykum,shukrani njema anastahiki Allah{s.w}na rehma na amani zimuendee Mtume {s.a.w}.Pongezi nyingi kwa walioanzisha mtandao huu inshaAllah Allah awalipe kwa hilo,muhimu ni kuendelea na kudumisha mitandao kama hii ktk suala zima la kuelimisha jamii.
 
on 28/06/2005 at 04:41

Assalaam Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh

Mtandao wenu huu ni muhimu sana hasa kwa**i waislamu tulioko mbali na nyumbani, Mimi nikiwa mzanzibari nafaidika na mawaidha mengi yaliyorikodiwa. Ukisingatia jinsi tulivyozungukwa na vishawishi mbali mbali mawaidha haya yamekuwa ni muhimu katika kukuza imani zetu na kuepukana na vishawishi vya Ulaya. Nawaombea kwa Allah akuzidishieni imani na akulipeni kila la kheri kwa wema wenu huu wenye kutunufaisha wengi.

Maassalaam
 
on 27/06/2005 at 04:40

Assalaam alaikum. great websites it teaches us alot of things and shows that we are in front of everything they came out with...
 
Messages : 1481 to 1500
Page : 75
Number of messages : 1549