Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 1521 to 1540
Page : 77
Number of messages : 1549
on 23/05/2005 at 16:40

NAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUWEZESHA KUFUNGULIWA KWA MTANDAO HUU. NATUMAI UTATUSAIDIA KWA MENGI SISI WAISLAMU NA MASIO WAISLAMU INSHAA ALLHA. NAOMBA TUUTUMIE MTANDAO HUU KWA KUJIFUNZA YALIOMO NA PIA KTAMBUANA SISI WANACHAMA NA PIA KUSAIDIA KATIKA KUJALI MAMBO MBALI MBALI YANAYOHUSU DINI YETU NA DUNIA YETU . ASSAL;AMU ALIKUM
 
on 22/05/2005 at 16:38

tuna mshukuru alla sana kwa kutujalia tu wa siliane hivi.naomba mungu wape na awaszidishie thawabu nyingi allhamdulilahirabbilalamin.
 
on 19/05/2005 at 16:36

kwa kweli tumshukuru Allah (swt)kwa kuwawezesha ndugu zetu hawa kwa kufanikisha kutuletea website hii yenye manufaa sana kwa waislam wanao zungumza kiswahili na Insh'Aallah M/Mungu atawalipa kwa juhudi zao.
 
on 18/05/2005 at 16:34

asalam alaykum, tunashukuru kwa fikra na jitihada za kukusanya maalumat kwa faida ya wengi, mola ndie mjuzi na mwenye kutoa malipo Insha allah nanyi atawajaalieni malipo mema kwenu nyote waanzilishi wa web site hii. keep it up!
 
on 18/05/2005 at 16:32

nimefurahi sana na natoa shukrani zangu kwa ndugu zetu walioanzisha web hii, kwani kuna mengi yalitupita au kuyasahau hasa katika dua sisi tuliombali na nyumbani. Inshaalah Mungu akulipeni mema kwa kazi yenu nasi atunufaishe na web hii. ningeomba mtu anitumi dua aliyoisoma Mtume SAW baada ya kupigwa mawe taif.
 
on 17/05/2005 at 16:30

Assalam alaykum, Mashallah, Allah awatie nguvu na kuwalipa kheri nyingi wahusika wote walioanzisha na wanaochangia katika Website hii. Inshallah iwe ndio mafanikio kwa wote wanaoishughulikia na wanaoipitia na kuisoma ndani yake. Nimekuwa nikijifunza Website nyingi za dini kwa lugha ya Kiswahili, lakini website hii juu ya uchanga wake lakini ni website yenye nguvu mno na yenye kuweka mambo yanayohitajika haswa katika jamii ya kiislam. Ahsante sana Baraqallah fiykum
 
on 16/05/2005 at 16:27

Asalam aleikum, Jazakumu'llah khayr kwa kazi mulofanya. Bila shaka sote tutanufaika na kuelimika inshallah kwa hii ''site''. Nimesoma kuhusu salat-un- Naariya. Kuna dua nyingi mfano wa hio ambazo twazisoma kila siku na kumshirikisha Mw. Mungu bila kujua. Allah(SW)atusameh na atughufirie. Na kwa ajili ya kazi hii unayofanya inshallah tutazijua nyengine kama hizo na inshallah Allah atatupa fahamu na tujiepushe nazo.
 
on 15/05/2005 at 16:25

Assalam alaykum bros. and sisters in Islam, Blessings of Allah (SWT) to the inventors of this wonderful and educative islamic site in swahili language. I feel at home by just being in this wonderful site! Keep up the good work, as am sure its really helping, educating and reaching a lot of muslims ummah around the world. ''Yaa Rabb lead the muslim ummah to the right path'' (amin). Barakah Llah wa fii amani Llah. God bless. Wassalam alaykum
 
on 14/05/2005 at 16:17

HANK YOU VERY MUCH WE ARE PROUD TO HAVE OUR OWN SITE TO TEACH OUR CHILDREN GOD BLESS YOU ALL
 
on 13/05/2005 at 16:14

ASSALAM ALAYKUM NAPENDA KUWAPONGEZA WOTE WALIOSHIRIKI KTK KUTENGENEZA WEBSITE HII YA KIISLAM KWA FAIDA YETU SOTE,KWA KWELI NI NZURI,MUNGU AKUJAZENI KHERI& AKUBARIKINI KTK KAZI ZENU ZOTE.INSHALLAH MUNGU ATATUJAALIA KUYAFATA YOTE MEMA NA KUYAWACHA YOTE MABAYA TULIYOKATAZWA(AMIN)
 
on 12/05/2005 at 20:52

Assalamu allykum ! A good site to enlighten us in deen in a language which we have been raised up with;definately there is a difference.Hoping that you can bring answer and questions format in the future. (I am just informing bros and sisters here that if you put your email it will show to the public;there is a lot of spam being sent this way by spywares so be sure if you put an email its a private one and not official from your company).
 
on 12/05/2005 at 20:49

Kwanza nawashkuru sana watayarishaji wa AL HIDAAYA Mola awajaalie kufaulu duniani na akhera Amin. Kwa faida ya wengi walio karibu yangu,Ni kweli mwanamke anaweza kusoma Qur-ani akiwa na hedhi?
 
on 12/05/2005 at 20:44

A/Alaykum,tunashkuru sana kwa kuweka website hii,inshaallah M/Mungu ataidumisha kwa kheri na baraka tele
 
on 11/05/2005 at 20:42

This is really a beautiful web-site for Muslims Ummah. I would like to thank all of you who came up with this wonderful and educative islamic web-site to the whole world to view and gain useful knowledge from it. Great job!! Assalam alaykom....
 
on 11/05/2005 at 20:39

Natukua nafasi hii kupongeza kwadhati ndugu wahusika wote kwa kazi hii bora waliofanya kuhakikisha na kufanikisha miradi kama hiki ya kunufaisha waislamu kupitia mtandao. Allah (SWT) atujaalie niwenye kuyafuata haya mema na kuacha mabaya-inshalla.
 
on 11/05/2005 at 20:36

Ahamdulillah kwa jitihada mliyoipitisha kuanzisha mtamdao huu wenye jina la uislam katika lugha ya kiswahili. Inshaallah Allah akupeni nguvu kwa kuutangaza ukweli duniani. Asalam Alaykum.
 
on 10/05/2005 at 17:59

ASALAAM ALEYKUM GREAT EFFORT TO BRIDGE ALL TOGETHER FOR THE BENEFIT OF ISLAM & MUSLIMS.MAY ALLAH THE ALMIGHTY BLESS YOU ALL FOR THIS SUPERB JOB WELL DONE AND KEEP-IT-UP AMEN.
 
on 10/05/2005 at 17:57

asalam alaikum, 1stly i'd like 2 congratulate the site owners for these well designed pages, mashallah. 2ndly, please include an ENGLISH section on the site, so a larger collection of articles can be available. 3rdly, plz try 2 fill up the ''wanawake'' section soon, coz we women have a lot of specific issues.
shukran again 4 putting in all the effort to spread our true religion. May Allah bless all those who direct people in the Straight Path.
 
on 10/05/2005 at 17:54

Assalamu Alaykum ndugu zangu wa kiislam.Namshukuru Allah kwa kuwawezesha kutuandikia website nzuri kama hii ya kiislam.Allah atakupeni nguvu zaidi ya kutuelimisha ili na sisi tupate kuwaelimisha wengine (Ameen).
 
on 09/05/2005 at 17:35

Namshukuru Allah Subhanahu wataallah aliyewawezesha waanzilishi wa huu mtandao ambao ni wa mafunzo na ibada kubwa, Mungu mtukufu awape kila la heri na inshaallah kila aujuae amwambie muislamu mwenzie ili tufaidi sote.
 
Messages : 1521 to 1540
Page : 77
Number of messages : 1549