Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 1541 to 1549
Page : 78
Number of messages : 1549
1 ... 69-70-71-72-73-74-75-76-77-78
next >>
on 09/05/2005 at 17:29

Nimefurahi sana kuona na kusoma yaliyopo ndani ya website hii nimatumaini yangu kuwa utakuwa ni msaada mkubwa sana ktk jamii nawatakia kila la kheri ktk kila jambo la kheri mlifanyalo na mungu awajaze neema na baraka tele.naomba iwe hivyo
 
on 09/05/2005 at 17:26

Sina budi kuwashukuru wote wahusika waliofikiria wazo hili la kunufaishana.M/Mngu atujaalie niwenye kufuata yalo mema na maovu kuyawacha.
 
on 08/05/2005 at 17:20

A/aleykum; Natoa pongezi zangu za dhati kwa waanzilishi wa website hii ambayo inafunza maadili mema ya maisha katika misingi ya kiislam,pia nawaomba wasomaji tuwe wenye kuyatenda yale ambayo tunayasoma,na pia kuwashajiisha wengine kufuata muongozo na mwendo wa kiislamu,ili ''amani'' ambayo ni jina la uislamu idumu ndani ya nyoyo za waja. Kullu aamun waantum bikheyr.
 
on 08/05/2005 at 17:15

Assalam alaykum! warahmatullah Wabarakatuh!Sina Budi kumshukuru Allah,Kwa Kila Kukicha na kuzama kwa jua kuamka na kulala kwetu na kwakila Dakika na sekunde Ipitayo basi hupita kwa Rehma Yake Subhanna Si mwengina Ila ni Yeye Maulana Allah Mola Karima!...Pia Kwa kuwawezesha Waaznilishi kwa Tovuti hii Ya Kiislam yenye Kufunza, kuasa kueneza Ujumbe wa kheri Makala za dini Ilo Ya Hakki ISLAM. Inshallah Kwa kuanzisha kwao kutatufany anasi kujumuika Pamoja Inshallah na Kupata Yalo na kheri nasi! kwani Hakuna alie Sahihi Mjuzi Na Muongofu ila Allah, Basi nayeye ndie wa kuombwa na kutujaalia sisi Viumbe wake Kila La Kheri na kutuepushia yalo Mabaya! AMIN. ALHIDIYA Ipo Njia Ya kheri nayo Itatukumbusha ya kheri zaidi AMIN.
 
on 08/05/2005 at 17:03

Assalamu Aleykum I want to express my sincere appreciation of your work on this web-site propagating Islam. May Allah reward you all! And we pray to Allah to enable us make our contribution! Ameen.
 
on 08/05/2005 at 16:52

Bismillah Mashallah, Namshukuru Allah kwa kuwawezesha Waja wake kuweza kutufikishia ujumbe na mawaidha ya kiislam, ama kwa hakika Binaadamu tunahitaji msasa kwenye nyoyo zetu zisizokwisha kubadilika kila siku nao ni mawaidha. Mungu awajaalie kila la kheri wahusika wa hii website
 
on 08/05/2005 at 16:04

asalam alaykum, tunashukuru kwa fikra na jitihada za kukusanya maalumat kwa faida ya wengi, mola ndie mjuzi na mwenye kulipa mema kwa waanzilishi. keep it up!
 
on 09/04/2005 at 16:03

Assalamu aalaikum wah rahmatullah...
Yeah..Nice Site. Nice guest book.:)
Keep it up.
 
on 04/01/2005 at 18:08

A/alekum nimefurahi sana kupata kuona webb ya mawaidha ya diniyetu kislamu
ishllah ALLAH awajaliye kila lakhri amini, nimefurahi sana nilipoweza
kusoma uhai wa mtume ibrahim as sasa nilikuowa nomba munilete uhai wa mtume
adam na watu wake nitafurahi sana kujuwa histri yanabii Adam na watu wake
massalm
 
1 ... 69-70-71-72-73-74-75-76-77-78
next >>
Messages : 1541 to 1549
Page : 78
Number of messages : 1549