Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 161 to 180
Page : 9
Number of messages : 1549
1 ... 4-5-6-7-8-9-10-11-12-13 ... 78
on 11/07/2016 at 17:03

Asalam alaykum warahmatuLlah wabarakaatuh.

Natoa Shukran zangu za dhati kwenu kwa masomo mbalimbali.

Allah awajaalie kila lililo la khery, Aamiyn.
 
on 08/07/2016 at 14:44

Mashaa Allah jmn asnten asnte sana mn tunaelewa kwakwel..Allah akulpen kher
kwa kutuelewesha
 
on 07/07/2016 at 21:14

Shukran kwa darasa zur...Allah akuzidishie
 
on 04/07/2016 at 08:00

assalam alaykum .
sifa kwa ukamilifu ni zake Allah pekee. ninawashukuru sana kwa ufafanuzi kuhusu dini yetu tukufu. sina cha kuwalipa ila Allah pekee atawlipa
 
on 29/06/2016 at 09:16

JAZAKALLAH KHAYRA, M/MUNGU NDIE ATAKAEWALIPA INSHALLAH KWA MAFUNDISHO MEMA YA DUNIA NA AKHERA KATIKA DINI YENU.
 
on 28/06/2016 at 20:56

allah akuzidishieni mashallah
 
on 26/06/2016 at 15:27

Alahamdulillah nashukuru saana kwa mafundisho yenu
 
on 26/06/2016 at 13:08

Nawashkuru sana kwa kutufunza Allah atawalipa kila la kheir.
 
on 19/06/2016 at 14:18

Sifa kwa ukamilifu ni zake Allaah pekee. tunamshukuru Maula wetu kusababisha uwepo wa Al hidaaya kwani tunapata darsa kwa kiswahili na ku download kwa wepesi sana mashaAllaah. quraan kadhaalika. tunaomba muongezee Duruus na mihaadhara ziwe nyingi zaid InshaALLAH. Allah awazidishie ktk dunia na aakhirah.
 
on 16/06/2016 at 06:00

Allah akulipeni kila
la kher hasa kwa jitihada mlizokua nazo na tasfia mliyoifany hii ni taufiki ya Allah.. Allah akupeni thabati sisi na ninyi
 
on 13/06/2016 at 11:14

Mungu ni mkubwa kweli mungu aendelee kuwapa akili zaidi ya ubunifu mmefungua watu wengi walolala.ramadhani kareem
 
on 12/06/2016 at 15:25

Alhamdulillah
 
on 12/06/2016 at 04:53

assalam aleikum warahmatullahi wabarakatu.nashkuru kwa mafunzo yenu na jitihada zote ambazo mnafanya ilikuskuma gurudumu la uislam mbele.
tumuombe Allah atujalie tuwe ni wenye kufaidi kwa juhudi zenu,atujalie tuwe ni wenye kuskia kauli na kuifuata,atuepushe na aibu,adhabu shari za ina yoyote katika dunia wal akhira,atujalie mapenzi baina yetu na atuepushe na husdah.atujaile mwisho mwema na atuzidishie taqwa hata baada ya ramadhan.atujalie makakaazi yetu ya mwisho iwe ni peponi.atujalie ushindi dhidi ya waisokua waislam na pia awajalie wale ambao si waislam waweze kupata kuujua uislam na kuukubali.Amin
 
on 11/06/2016 at 21:36

Nawashukuru sana na ALLAH ndo atawalipa me sina cha kuwalipa ila shukran sana sana sana
 
on 11/06/2016 at 01:17

Assalamu aleikum waarahmatullah wabarakat mimi naombeni niwape hshuqrani zangu mimi nimekua nikijiuliza nivipi ntafahamu kuisali swalah ya tahajjud na rakaa ngapi lakini nimeshukuru alhidaaya kwa kunipa muongozo nawatakieni ramadhani katim
 
on 09/06/2016 at 14:28

Mashaallah wali'laah. Allah akulipeni kila lakher kwa darsa zenu nzuri. Jazaakum Allah khayran.
 
on 07/06/2016 at 14:05

mungu akubariki sana kwa elimu unayotupatia mdogo wako
 
on 06/06/2016 at 07:18

m ungu awalipe
 
on 03/06/2016 at 02:23

Jazakalla khery nashukru sana kwa machapisho yenu yenye manufaa kwetu sote
 
on 29/05/2016 at 04:07

Alhamdulillah Allah awape subira ktk kazi hii mnayo ifanya Inshaallah tumuombe Allah atulipe Pepo sote mimi nawapongeza kwa uwepo wenu naomba ndani ya huu mweziwa
 
1 ... 4-5-6-7-8-9-10-11-12-13 ... 78
Messages : 161 to 180
Page : 9
Number of messages : 1549