Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 181 to 200
Page : 10
Number of messages : 1549
1 ... 5-6-7-8-9-10-11-12-13-14 ... 78
on 22/05/2016 at 11:50

alhammdo lilah kwa manfunzo yenu munayo tupa.
 
on 19/05/2016 at 15:28

Nashkuru na kupongeza jitihada yenu ila naomba muendelee na jitihada ya kuhakikisha kitabu cha swiifatu, swalaatunnabiy kinachapishika insha Allah.
 
on 18/05/2016 at 04:49

Shukran Allah atawajaza kheir kwa kazi yenu Nzuri inshaallah. Na sisi Allah atujaaliya wenye kuyasikia mema na kuyafuata
 
on 13/05/2016 at 13:46

Jazakallah khery nashkru sana kwa machapisho yenu mazur yanatutoa kwenye giza na kutuingiza kwenye nuru sina cha kuwalipa ila Allah atawalipa ujira wenu in sha Allah.
 
on 12/05/2016 at 06:08

Asalam Aleykum,nashukuruni sana kwa kuweza kuingia rasmi katika page yenu kwani mwanzo nilikuwa naishia kusoma lakini leo nimeamua kuingia rasmi katika page yenu,kwani ni mengi sana nimejifunza,sina cha kuwalipa isipokuwa Mwenyezi Mungu ndo mwenye kuwalipa
 
on 23/04/2016 at 08:28

asalam alaikum wapendwa mm nashukur kw kaz mnayofanya mm nawape pongez na moyo wa kuendelea kujuza ulimwengu wa sasa khabar ju ya dni ya allah s.w..... mungu atawalipa cc hatuna cha kuwalpa.
 
on 22/04/2016 at 06:19

ashukuriwe mola wetu kwa kutuweka hai nashukuru kwa somo nimefanikiwa
 
on 19/04/2016 at 17:02

Nawashukuruuu kwa kila kituu
 
on 13/04/2016 at 19:25

Aasalam alykum waraham matullah wabarakatu
Napenda kusema asanteni sana nimenza mengi kuhusu utungenezaji wa keki mungu awape kher katika shuhuli zenu amiina
 
on 08/04/2016 at 19:54

Assalam alaykum
Sina mengi ya kusema labda niseme
Tunakushkuruni kwa msaada wenu kufikisha
Juhudi zenu.allh awajaze hekma na kwa kuendeleza
Gurudumu hili inshaallah.
 
on 07/04/2016 at 21:04

kila la kheri alhidaaya,jazakum Llah khayr
 
on 06/04/2016 at 13:51

Assalam Aleykum Alhidaaya
Naitwa sannaya Aboud ni mngazija ninae ishi south africa napenda kuwasifu na kuwapongeza kwani nimejua kupika vyakula vingi kupitia page yenu na instructions mnazotoa nami nazifwata hivyo hivyo,nimeona leo niwatumie ujumbe wa barua pepe kuwashukuru sana ndugu zangu ...May Almighty Allah protect you always In Sha Allah
 
on 30/03/2016 at 22:08

Asalam a'laykum! Kila la kheri mwenyezi mungu awafanyie wepes katika kuelimisha jamii kupitia mitandao ya kijamii! Kwani mwenyez mungu anasema katika surat 'aashiyat! Kwamba! Kumbusha hakika wewe ni mkumbushaji!! Kwahiyo kila la kheri ktk kutekeleza amri ya Allah (s.w)! Assalaam 'alaykum!!!
 
on 23/03/2016 at 08:46

Assalam alykum ,nashukuru sana alhidaya kwa mafunzo yenu, sijaolewa lakini hongera.laiti yote yangetekelezwa kiuhakika kusingekuwa na migogoro majumbani.insha Allah Allahumma Jaalna Minhu
 
on 22/03/2016 at 06:47

nimefrahi alhamdullilah umnatupa elimu kwa dalili ALLAH akuzidishien tunaelimika
 
on 20/03/2016 at 18:21

asalam ghalaykum napenda kuwapongeza kwakazi kubwa mnayotuhudumia jamii ya kislam haswa katika suala kufunga masiku meupe kila mwezinashukuru kwahilo jadhalohuhayr
 
on 16/03/2016 at 11:29

Tunaomba maandishi ya kiarabu yaanzie kulia kama kawida yake. Wakati mnapotuandikia hadithi na ayah za quran tukufu.
 
on 08/03/2016 at 04:11

assalamu 'alaykum warahmatullah wabarakatuh. Namuomba allah awafanyie wepesi katika marekebisho ya kipengele cha mawaidha na Allah awatangulie katika marekebisho hayo yawe bora zaidi. Na Allah ndio anayekifaham kilicho bora zaidi kwa waja wake.
 
on 01/03/2016 at 20:40

Tunaomba mturudishie Mawaidha audio
 
on 01/03/2016 at 16:15

asalam alykm maoni yangu nikwamba muwe munatuelimisha kupitia maredioni pia maana wengine simu zetu hazina uwezo wa kudanload
 
1 ... 5-6-7-8-9-10-11-12-13-14 ... 78
Messages : 181 to 200
Page : 10
Number of messages : 1549