Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 21 to 40
Page : 2
Number of messages : 1549
on 13/11/2018 at 16:22

Asalamu alaykum Allah awahifadhi Alhidaya Na Awalipe kwa jitihada na juhud kubwa ya kulingania ktk misingi sahihi ya Qur an na Sunna Nmejifunza mengi sana na nmeelimisha wengi kupitia mada zenu tupo pamoja ktk haqi
 
on 11/11/2018 at 16:23

Allah awalipeni nyingi kheri kwa kazi nzuri mnazofanya kwa sasa najiamini kuna website inayoaminika sasa alhidaya. Com
 
on 09/11/2018 at 17:44

Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu. hongera na Allah awazidishie ufahamu tuzidi kunufaika in shaa Allah.
 
on 14/09/2018 at 11:12

NAFURAHI MAWAIDHA YENU
 
on 05/09/2018 at 09:06

ASSALAAM ALAYKUM. NAWATAKIA KILA LA KHERI NA KUWAOMBEA MUENDELEE KUTUELIMISHA
 
on 04/09/2018 at 18:11

Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh Natowa shukran kwa viongozi wa tovuti hii yenye faida na masomo mbalimbali na naomba waniunge hili niendelee kufaidika zaidi. wabillahi tawfiq
 
on 17/08/2018 at 14:10

asalam alaykum napenda kutoa zangu shukran za dhati kwenu alhidaaya kwakudumu kwenu kwenye njia hii ya kuelimisha jamii yakislam kwamda wote huutoka nigundue hii site nimekuwa mwalim kwawengine hasa kwenye maswali namajibu MUNGU awenanyi
 
on 10/08/2018 at 15:31

assalam aleikum warahm tulah wabarakat mashaalah mungu awafanyie wepes zaid nawapenda sana munatuelimisha waisilam
 
on 09/08/2018 at 05:13

Assalaam 'Alaykum Warahmattullah Wabarakattuh.
JazakumAllahu Khairaan kwa Kutulingania Vizuri Sana ktk DINI yetu TUKUFU ya Uislamu.
 
on 30/07/2018 at 09:44

ASLM ALYKM NDGU ZANG WA ALHDAAY ALLAH AWLIPE KHR KWNI TUNPTA KUELIMIKA KUPTIA PGE HII
 
on 27/07/2018 at 16:15

As salaam alaykoum..... Baarakallaahu fiiykum

ikhwaan.. Allaah awalipe kheri juu ya ne'ema hii ya kutoa elimu kupitia website hii ya Alhidaayah.com

maoni yangu.. naomba muendelee kufuatilia duruus mbali mbal zinazoendelea kufundishwa na masheykh zetu akina Abuu Haatim, Abuu Rabi'iy, Abuu Usamah, Abuu Haarith na wengneo waliokuwa katka website hii..... kwani tunapata faida katka duruus zao zinazorekodiwa ....

BAARAKALLAAHU FIIYKUM
 
on 21/06/2018 at 19:48

Assalam alaykum!! Alhidaya ni darasa tosha kwa umma ila naombeni kuniunganisha ili kuweza kupata jarida kila wiki km ilivyokua mwanzo maana sijatumia sim ya smart siku nying na toka nimeanza kutumia sijaona ktk emaibox yangu kupata sms inayohusu alhidaya
 
on 14/06/2018 at 07:20

ASSALAMU ALYKUM WARAHMATULLAH WABARAKAATUH.MNATOA ELIMU KUBWA SANA ALHIDAAYA NA MNAUSAIDIA SANA UMMA WA KIISLAMU ALLAH AKUPENI KILA LA KHERI NA MUWE NA WEPESI WA KUYAANDAA MAMBO HAYA.NINGELIPENDA MUTUELEKEZE JINSI YA KUSHEREHEKEA IDD KWA MUJIBU WA UISLAMU JAZAKUMULLAH KHEIR
 
on 10/06/2018 at 19:14

asalamu alaykum warrahmatullah taala wabarakatul
napenda kumshukuru Allah kwa kuniwezesha kufika mpk cku ya leo pili sifa njema zimuendee mtume Muhammad(s.a.w) na wale waliomfuata yeye kwa wema napenda niwapongeze uongoz wa alhidaaya kwa kutukumbusha dini Allah awajalie kher nyng
 
on 08/06/2018 at 12:25

Asalam alaykum
Jazakumullahu khair,hatuna cha kuwalipa ila Allah ndo mwenye malipo bora,mitihani inayopatikana ni ya kuvumilia kutoka kwa ahlul bidaa
 
on 07/06/2018 at 04:10

Assalam aleykum, kwanza nakupeni hongera na shukrani kwa kazi munayoifanya,Allah akulipeni kheri In sha Allah
 
on 03/06/2018 at 19:13

Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh, jazakum allahu khairan, kwa da'awa zenu nzuri.
 
on 30/05/2018 at 10:55

The best Mash'Allah
Nashkuru sana, barakallah fiikum
 
on 25/05/2018 at 07:32

Alhamdulillah wasalatu wasalam alaa ruslillah waba'adu!

Twa mshukuru allah kwa kutujaalia watu kama nyinyi, watu wenye himmah kubwa na wenye juhudi ya dhati katika kuhakikisha unarejea uislaam ule alouacha nabiy wa allah na maswahaba zake!


Hii nikheri imetukuta twahitajika sana kumshukuru allah subhaana,

Kwani kushukuru kwa ne'ema ni sababu ya neema hio kuzidi! Allah ailinde tovuti hii na aichunge na atupe taufiq juu yake na awape taufiq watu wake,
Na awajaalie hikma kwani aliepewa hikma kapewa kheri nyingi, na awape barka na awafungulie milango ya kheri.
 
on 16/05/2018 at 19:13

Aaww, Allah awape kher ktk kazi hii yakuelimisha,
 
Messages : 21 to 40
Page : 2
Number of messages : 1549