Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 201 to 220
Page : 11
Number of messages : 1549
1 ... 6-7-8-9-10-11-12-13-14-15 ... 78
on 07/02/2016 at 11:50

Assalaam alykum warhamatullah wabarakatuh,

Baarak ALLAAHU feek,

shukran,
 
on 05/02/2016 at 16:28

Ni kweli inabidi wanawake tujistri kwa sababu zifuatazo
i) utaheshimika katika jamii iliokuzunguuka na hata mbele ya allha utakua na nusura
ii.)utakua umejizuia na dhambi kutoka kwa wanaume ya kumtamanisha
iii.)inaleta ubora katika familia na amani, upendo, mshikamano, na heshima
iv)na kutokana na kutojistri tunaona matukio mengi hujitokeza kama baba kuwabaka watoto wao au kaka kuzaa na dada yake yote hayo ni kutojistri maoni yangu ndo hayo asanteni
 
on 05/02/2016 at 13:23

A.a niko na subyan alonipelekea mimi kuvaa pete na kuwa na kaniki lkn nashukuru kwa mada zenu na machache ninayo yapata katika internet nimeona nafanya makosa makubwa sana. Nashukuru nimepata aya ninazosoma za ruqya asubuhi na jioni zanisaidia lkn swali nikwamba hivi vitu nifanyeje .
 
on 05/02/2016 at 09:47

ALHAMDULLILLAHI ALLAH AWALIPE KHERY WALE WOTE WATAYARISHAJI NAKALA PAMOJA NA WASHIRIKI WOTE.NAULIZA SWALI NATAKA KUFAHAMU NGUO ZA HARIRI NI ZIPI AU NI VITAMBAA VYA AINA GANI NA VINAPATIKANA WAPI ZAIDI?
 
on 31/01/2016 at 03:03

Ass/alaykum warhamatullaaah wabarakatuh....
Pongezi kwenu kwa ilmu mnayoitoa, Allah awalipe kila la kheri, pia awaongoze ktk njia ilinyooka, na awajaaalie mwisho mwema (nyinyi na sisi).
Baaada ya hayo, nawaombeni mjitahid kuturejeshea mawaidha ya audio, na mjitahid mtuwekee na mawaidha ya shkh Msellem Ally (inshaaaaaaaallah).
 
on 27/01/2016 at 02:22

Assalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh. Sifa zote Anastahili Allaah Subhanahu Wa Taala kwa kuniwezesha kuzindua website hii Yenye kutuelimisha mafunzo ya Dini yetu ya Kiislamu. Namuomba Allaah Subhanahu Wa Taala amujazie pumzi na uhai muweze kutuelimisha zaidi. Assalaam alaykum.
 
on 26/01/2016 at 09:21

Assalam Alaykum Warahmatul Allahu Wabarakat.

Shukran kwa elimu yenye manufaa kwa wanaozingatia.

Naomba mnielimishe tofauti ya majina haya:
GHANIA
GHANIFA
GHANIYE

Ahsante.
 
on 26/01/2016 at 07:00

asalam a'leykum warahmatullah ta'ala wabarakatuh. Allah awazidishie inshaallah muendelee kutuelimisha Juu dini yetu ya kweli.kweli nimejifunza vtu vingi vya muhimu kwa muislamu kujifunza.Allah atawalipa jazzakumullahu kheir.
 
on 24/01/2016 at 12:07

Ass/alaykum warahmatullah wabarakatuh.
Naomba ndugu zangu, mjitahidi kadri ya Allah atakavyo wawezesha, mturejeshee mawaidha ya audio, maana tunakosa da'awa.
 
on 24/01/2016 at 00:38

As Salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa Alhidaaya kwa ilmu mnayotoa kwa umma wetu huu wa kiislamu. Nashukuru pia kwamba kwa ambao ni subscribers tunapata jarida kila wiki siku ya ijumaa, napendekeza kuwa kwa kuonvezea katika hilo mngekuwa mnatutumia hadith moja kila siku na maelezo yake katika inbox zetu. Tutapata kujifunza hadith kila siku pamoja na nasihi za kila wiki.
Waadha As Salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh.
 
on 22/01/2016 at 21:17

Asalaam alykum!
Allah awape maarifa zaidi ktk kutuelimisha waislam.
Nimefurahi sana ufafanuzi wenu juu ya Ahlul Badr.
Allah awaongee maarifa zaidi.
Wabillah tawfiq.
 
on 18/01/2016 at 05:51

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته.
Namuomba Allah Mtukufu ajalie juhudi zenu katika mizani ya mema yenu siku ya Qiyaamah.
1) muendelee kutakasa niya katika kazi yenu.
2) muwe na subra kwa yote mnayo kumbana nayo, ukifanya kazi kama mnayo ifanya lazima mpate maudhui, huwenda yakatoka kwa mtu msie mtarajia lakini fungeni kibwebwe endeleeni na kazi ya Allah akiiridhia pekee yatosha.
3)nakumbeni muwe mnatuwekea Mihadhara /khutuba /darsa zinazofanyika Markazi Omari Iliyopo Dsm Jangwani.
4)Ikiwezekana muweke vitabu vinavyo Fasriwa na Abduraufu Abdallah Othumani Ashafiiyu.
Ametarjama vitabu hivi :
1 )masomo na Mazingatio katika kitabu Tawheed.
2)usulu thalaatha.
3)Qawaid 4.
4 )sifa ya swala ya Mtume (kilicho andikwa na bin baazi ).
5) Jihadi katika mizani ya sheria.
 
on 13/01/2016 at 14:04

Mungu akuzidishieni kheri kwa kazi hii tukufu mnayoifanya. Aidha kwa kutuwezesha kurudi katika homepage(nyumbani) kirahisi, napendekeza button ya ' Nyumbani' iwepo katika kila kurasa kabla ya button ya 'Andika Maoni Yako' katika main navigation bar. Kwa sasa hivi nilipata shida ya kuigundua button ya 'Numbani' kwa vile imewekwa sehemu isiyo rasmi.
 
on 09/01/2016 at 19:06

salaam,nawapongeza kwa juhudi zenu za kuulingania umma wa kiislamu juu ya mas'ala mbalimbali ya dini yetu,changamoto inayowakabili ni kubwa lakini tunaamini Allah atawafikisha pale panapokusudiwa,mimi naomba kujua ni lini kipengele cha
mawaidha kitarejea maana siku zinaenda na tunahamu nacho,nawatakia kila la heri na Inshaallah tutafanikiwa,msichoke kutupa elimu hii muhimu,wasalaam
 
on 07/01/2016 at 14:28

Assalam Aleykum. Nawezaje kudownload Visomo vya Qurani mlivyoweka? natamani kudownload lakini nashindwa.
Asante
 
on 06/01/2016 at 19:11

Assallam aleykum, nawapa hongera na Allah awape malipo ya Hannah. Swali language no kwamba mlitoa mawaidha kwa mtandao wenu na weza pata wapi hizo mawaidha.
 
on 30/12/2015 at 20:47

A aleykum warhmatulluh wabarakatuh.....napenda kukupeni hongera na allah atakulipen ujira uliomkubwa kwa kuwafahamisha watu katik dini.....
 
on 28/12/2015 at 04:42

Assalam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu. amaa baada yasalam zangu natumai hamjambo,kisha nawashukuru wote wanao jitolea kutufikishia ujumbe wa Allah na mtume Wetu Muhammad,Swalallahu Aleihi Wassalam.Allah Awalipe kila lakheri.maoniyangu nawaombeni kama Allah akiwarahisishia mkawa na mpango wakutahini watu kisha mkawapa vyeti ingekuwa borazaidi yaani kiwe chuo kikuu.Wabillahi tawfiQue.
 
on 25/12/2015 at 17:35

ningependa kuwa kwenye alhidaaya
 
on 24/12/2015 at 23:18

ASSALAMU ALAYKUM,ASANTE SANA KWA KUTUELIMISHA MAMBO MUHIMU SANA,HIYO KEKI NI NZURI ILA HIYO MALAI HAINA JINA JENGINE?
 
1 ... 6-7-8-9-10-11-12-13-14-15 ... 78
Messages : 201 to 220
Page : 11
Number of messages : 1549