Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 241 to 260
Page : 13
Number of messages : 1549
1 ... 8-9-10-11-12-13-14-15-16-17 ... 78
on 15/10/2015 at 13:10

asalam alaikum warahamatulah wabarakat nawapongeza sana mungu awape maisha marefu tuzid kufaidi na vipind vyenu
 
on 12/10/2015 at 13:29

Assalam Aleikum Warahmatullah Wabaraqatuh..
Jazzaqallah kher nafaidika na Darsa zenu
 
on 11/10/2015 at 16:54

Assalaam 'alaykum
Masheikh kwanza kabisa AllŃh(subhana wa taala)Awalipe kila la kila la kher nyinyi na sisi pia(kwa sabab kupitia website hii nimejifunza mengi sana
Shukran by sheikh Omar al-maleta from Tanzania
 
on 02/10/2015 at 14:01

Asalam aleikum. Shukran za dhati ziwafikie ndugu zetu wa Alhidaya Allah atawalipa kila lenye kher nanyi..
 
on 23/09/2015 at 11:15

Assalamu alaikum warahmatullah wabarakatu.
Napenda kutoa shukran zangu kwenu ndugu zangu wa Alhidaya .
Nawaombea kwa Allah Uwezo Fikra na Bidii kutuelimisha mambo ya dini yetu.Iwe kwenu Sadaqatun Jaria kwa kila anaenufaika.
Ameen.
 
on 23/09/2015 at 07:19

Mashaallah allah awalipe kheri mambo mazuri munayo tuekea
 
on 20/09/2015 at 11:42

Asalamu aleykum ndugu zangu wa alhidaya Allah awalipe malipo mema kwa mafundisho mnayotupatia hapa,asanteni sana
 
on 18/09/2015 at 16:23

Assalam aleykum ahsante kwa kutuelimisha naomba mnitumie makala kwenye email yangu
 
on 17/09/2015 at 16:13

assalamualykum! Ndugu zangu naomba kuuliza mbona mmeitoa link ya sikiliza mawaidha? ilikuwa na faida sana tunaomba irejesheni
 
on 14/09/2015 at 19:39

maashallah. twashukuru kwa ilmu mnayotupatia na Allah awaongezee kheri. imma katika post zenu mnawekahadithi au ayah bila namna ya usomaji (transliteration). bas twaomba mtusaidie ktk hili mana tunawezakukoseaktk kutonea tukajipalia shari kubwa
 
on 14/09/2015 at 08:11

Assalaam Alykum.

Alhamdulillah na nawapa kongole alhidaaya kwani twapata kunifunza mengi kupitia website hii.

Labda tu niwashauri Muslims wenzangu kwamba muda wa darsa kama huna basi simu yako yatosha kuwa darsa na naamini sehem kubwa ya watu wa kizazi cha leo wanatumia simu za kisasa ambazo mtu unaweza access these websites. Tusiishie kutaza mambo ya dunia tu wakati ya akhera yako humu pia yanapatikana.

Tusiwe wavuvi wa kusoma na hii si generation yakuuliza kila kitu kwa Sheykh au imaam au ustaadh. Kwanza tafuta soma kisha usipoelewa ndo tutawafutie masheykh zetu au waslim.

Me Alhamdulillah sehemu kubwa ya dini yangu na mafunzo mbalimbali nayapata kupitia simu yangu kuingia kila siku kwenye website hii na nyingi nyinginezo.

Alhamdulillah to the technology.

Alhidaaya Allah awazidishe ilmu na awape umri mrefu tupate jifunza mengi kupitia kwetu ان شاءالله
 
on 12/09/2015 at 16:29

Asalam alaikum warahmatullahi wabarakat.
nimefurahi sana kwa kpatikana kwa tovuti ya alhidaya ambayo ina wasaidia waislam.

Ila maoni yangu juu ya alhidaaya ni kuhusu document , zinge andaliwa ktk mfumo wa pdf na ilikuwepesika ktk kudownloa kwa madhumuni ya kuisaidia jamii au umma wakiislam zaid
 
on 11/09/2015 at 19:21

asante sana nimejifunza mambo mazuri mola awape afya njema muweze kutufunza zaidi inshAllah
 
on 10/09/2015 at 17:27

Allah Atujaalie Kheri Tuzidi Kuelimishana.
 
on 26/08/2015 at 12:05

Asalm alekum , hamdullah nime furahia sana hii Alhidaaya, inshAllah Mola awazidishe.
 
on 23/08/2015 at 20:33

MashaAllah Shukran ziwaendee Waislam wote walio kaa jini na kufikiri vizuri sana na uamua kuanzisha Alhidaaya kwakweli sina cha uwalipa watu kama nyinyi InshaAllah Amen
 
on 21/08/2015 at 16:58

jazakAllah
 
on 16/08/2015 at 21:31

Nawashkuru wote
 
on 14/08/2015 at 16:21

mashallah, tumejifunza faida za kujizuia wakati wa kupiga chafya na kwenda miayo. hakika ya uislam ni mbele daima.
 
on 10/08/2015 at 15:29

Sifa njema na shukrani za mstahili Allah alie kuwezesheni kua na takwa ili kubuni chombo kama hiki wengi tumenufahika sana kwa mafunzo mtohayo kwakua hatujapata wote fursa na muda kukaa vilivo darasani kwahivo kupitia njia hii hata tukiwa maofisini twajipatia elmu.Allah akulipeni malipo makubwa kwa kuhiendeleza kazi ya mtume. maombi na dua yangu nikwamba Allah atujaalie nia tu njema mana kama niuwezo wapo waislam Allah amewaruzuku twaweza kituo cha T.V kitakacho naswa katika nchi zote kizungumzwapo kiswahili.
 
1 ... 8-9-10-11-12-13-14-15-16-17 ... 78
Messages : 241 to 260
Page : 13
Number of messages : 1549