alhidaaya.com
Kitabu Cha Wageni


Andika Maoni


Messages : 31 to 40
Page : 4
Number of messages : 1012
   
on 09/01/2013 at 23:48

Kwa hakika kabisa Alhidaaya ni site ambayo mi binafsi nimefaidika kwa kiasi kikubwa san kabisa na ninaendelea kunufaika kwa kujielimisha na Alhidaaya imekuwa ni marejeo yangu katika utatuzi wa mambo mengi ambayo huwa yananitatiza huwa napata majibu kwenye Alhidaaya. bila shaka kwangu mimi Alhidaaya ni kama nyumba ya fatwa. kupitia Al hidaaya nimeweza kuona haki baada ya kutingwa na kiza kikubwa cha BIDA'A katika dini hii iliyotimia isiyo hitaji nyongeza. Ni sababu ya Al hidaaya ndio nimekuwa kipenzi cha Mtume(S.A.W) na kumfuata kama ipasavyo sio kwa kumzulia. ni kupitia Al hidaaya ndio nimefahamu kuwa Uisilamu sahihi uko katika kufua SALAFI SAALIH.
Hivyo basi,namuomba Allaah aikutanishe mioyo yenu katika jambo hili ili iwe sababu kwenu na kwetu kuingia peponi kwa kazi yenu hii, namuomba ALLAH adumishe kazi yenu hii na akupeni waritbhi watakayoiendeleza pale ambapo ALLAH atakachukuwa roho zenu ili dawah ya ALLAH iendelee,Namuomba ALLAH afanye rizqi zenu ziwe nyepesi ili msitatizike wala kusitisha kazi hii.
     
on 03/01/2013 at 08:22

asalam alekum warahma tullah wabarakatu!jajjakallahu mmejitahidi kutuelimisha sana hata kama huja kaa darasani unapata kujifunza kitu .natoa wito kwa vijana wenzangu na wazee waepukane na mtandao wa facebook coz dhumuni lao kubwa ni kutualibia akhilaki zetu na aqida .HALAHALA FACEBOOK NI MTIHANI NDUGU ZANGU
     
on 01/01/2013 at 05:34

AWW. Hakika shuklani za dhati anastahiki Allah S.W. na rehema na amani vimwendeye kipenzi chake na kiongozi wa ummat naye si mwingine bali mtume Muhammad SAW.

Hakika sina budi kuwashukuluni pia waislam (ma sheikh) kwa juhudi hii. Kama mzaliwa wa Burundi anaekaa ugenini ukipenda uite uzunguni, hii ni na fasi kubwa sana ya pekee ambayo naweza nikayitumiya na nikajifunza dini ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu awajaliye juhudi hizi ziendeleye na inshAllah awawezeshe kuwa na moyo mwepesi wakuitumikiya dini yake, pia awajaliye pepo ililiyo juu sana nayo ni fildausi.

Kwa waislamu wote dunia nzima Allah atulinde na maovu, na machafu na atulindiye afya zetu na inshAllah tuwe ni wenye kuipenda na kiendeleza dini yake dunia nzima na vilevile dukinge na wabaya wasioupenda uislam.

AWW.
       
Messages : 31 to 40
Page : 4
Number of messages : 1012