alhidaaya.com
Kitabu Cha Wageni


Andika Maoni


Messages : 41 to 50
Page : 5
Number of messages : 1019
   
on 03/01/2013 at 08:22

asalam alekum warahma tullah wabarakatu!jajjakallahu mmejitahidi kutuelimisha sana hata kama huja kaa darasani unapata kujifunza kitu .natoa wito kwa vijana wenzangu na wazee waepukane na mtandao wa facebook coz dhumuni lao kubwa ni kutualibia akhilaki zetu na aqida .HALAHALA FACEBOOK NI MTIHANI NDUGU ZANGU
     
on 01/01/2013 at 05:34

AWW. Hakika shuklani za dhati anastahiki Allah S.W. na rehema na amani vimwendeye kipenzi chake na kiongozi wa ummat naye si mwingine bali mtume Muhammad SAW.

Hakika sina budi kuwashukuluni pia waislam (ma sheikh) kwa juhudi hii. Kama mzaliwa wa Burundi anaekaa ugenini ukipenda uite uzunguni, hii ni na fasi kubwa sana ya pekee ambayo naweza nikayitumiya na nikajifunza dini ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu awajaliye juhudi hizi ziendeleye na inshAllah awawezeshe kuwa na moyo mwepesi wakuitumikiya dini yake, pia awajaliye pepo ililiyo juu sana nayo ni fildausi.

Kwa waislamu wote dunia nzima Allah atulinde na maovu, na machafu na atulindiye afya zetu na inshAllah tuwe ni wenye kuipenda na kiendeleza dini yake dunia nzima na vilevile dukinge na wabaya wasioupenda uislam.

AWW.
             
Messages : 41 to 50
Page : 5
Number of messages : 1019