Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 41 to 60
Page : 3
Number of messages : 1549
on 07/05/2018 at 04:30

asalam ghalaikum, Allah awape kila LA kheri katika mafunzo yenu
 
on 03/05/2018 at 14:53

Ongereni sana kwa kutoa elimu ya hususani kwa kipindi hiki cha kuelekea ramadhan.
 
on 02/05/2018 at 18:39

MashaaAllah.Allah awalipe kwa hili naipenda sanaa hii maan napata kujua na kujifuz mambo mingi khs dini yangu kutoka kwenu!
 
on 06/04/2018 at 10:44

Allah awazidishie elimu ,muzidi kutuelimisha
 
on 05/04/2018 at 06:09

ASSALAAM A'LAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKAATUH.
Allah akulipeni pepo kwa juhudi zenu katika da'wah hii ya sunnah
 
on 01/04/2018 at 21:13

Allah awabaarik, endeleeni na kazi hii wala msife moyo. Yapasa vijana kufanya vitendo kama hivi na c kushindana kwa maneno. Kila la kheri tupo pamoja.
 
on 30/03/2018 at 11:07

Assalamu alaykum warahmatullaah wabarakatuh, tunashukuru kwa uwepo was Alhidaaya kwa kweli tunastafiid sana AAlhamdulillaah baraaka llaah fiikum , mm Leo nna nna maoni haya, katika zile darsa ambazo zinaendelea huko markar, tulioko huku nje ya markaz tunafuatila ila shida huja hapa, kwa vile vitabu ambavyo havipatikani madukani kwa mfano vile vya dammaj ambavyo havipo madukani, imma mutuni zile Alhamdulillaah tumejitahidi tumenunua na tunastafiid vizur, sasa ombi letu tuwekeeni PDF ya vitabu hivyo ni hilo tu ombi letu , baaraka llaah fiikum
 
on 19/03/2018 at 19:07

Allah Akulipeni khery kwa juhudi hii ya dini hakika faida zinazopatikana ni nyingi na Allah ndio shahidi juu ya hilo, Tunamuomba Allah aihifadhi www.Alhidaaya com na wasimamizi wake ili tupate faida Zaidi. Baaraka Allahu fiikum
 
on 22/02/2018 at 12:06

Nimeipenda sana hii tovuti ya allihiday endeleen kutupa elimu kuhusu
Dini yetu
 
on 17/01/2018 at 11:16

as salaamu alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh.
walillaahil hamdu, uendeshaji ni mzuri, na tunafaidika, Alhamdulillaah, na tunamuomba Allah awalipe yote ya kheyr!
labda niwaombe kwamba, kuna baadhi ya duruus, ambazo tumekua tukizifuatilia kwa karibu sana,
lkn zinaanza vizuri ila hazimaliziki,
kama vle USUULUT TAFSEER, USUULUL FIQHI, RIYAADH AS SWAALIHIIN, BULUUGH, na zinginezo,

ombi langu!
hizi duruus kama zote zimesha someshwa na waalim wetu, basi tunaomba mtutumie, Ili tuweze kuendelea kufaidika.

mwisho niwatakie kila la kheyr,
baarakallaahu fiikum.
akhuukum - Abuu Muslim.
 
on 12/01/2018 at 17:12

Assalaam aleykum. Jitihada zenu ni manfaa makubwa kwa dini ya Allah hivyo zidisheni zaid jitihada ujumbe wa Allah uwafikie watu katika kila kwenye kiza kuwe na nuru ya haqi na watu waifahamu dini sahihi. Allah awazidishie kheri na barka zake katika kuwaelimisha waja wake.
 
on 05/12/2017 at 06:38

Asalaam alykum warahmatulah wabarakatuh

Shukran kwa kutupatia elimu mzuri ambayo mimi binafsi na nufaika nayo
 
on 18/11/2017 at 15:39

assalaam alaykum warhmatullahi wabarakaatuh, kazi nzuri ndg zangu wa alhidaaya. Allah awazidishie na awape mwisho mwema inshaAllaah. maoni yangu naomba mturejeshee hadithi za rasoul swalla allaahu alayhi wasallam kama ilivokuwa apo zamani maana saa ivi zpo arubaiyn annawawi pekee. AHSANTE
 
on 23/10/2017 at 05:06

Asalam alaykum warahmatullah
Jazaakum Allahu khayra kwa juhudi mnazozifanya kuifikisha diyn ya Allah Aza Wa Jall sisi sote ni mashahidi na tunamuomba Allah atuhifadhi na atuthibitishe sote juu ya haqq mpake tukutane naye Tabaaraka Wa Ta'ala.

Ombi langu Baaraka Allahu fiykum ni kuhusiana na APP ya tarjama ya Qur'an tukufu WaLlah ni yenye kuhitajiwa sana kwa sababu tafsir nyingi za kiswahili zilizopo haziaminiki Tunamuomba Allah awafanyie wepesi muikalimilishe
Tunawapenda kwa ajili ya Allaah
 
on 21/10/2017 at 04:34

assalam alaykum.
napendasana namna maswali yanavyopatiwa majibu. jazzakallah khair. ila maoni yangu nivyema page hii ipate kutangazwa zaidi ili wingi wa waislamu waweze kupatamaarifa kuhusu usahihi wa uislamu. inshaallah.
 
on 20/10/2017 at 06:56

Mashallah asanteni sana wallahi mnafanya kazi nzury Allah awabaariki na awalipe malipo mazuri duniani na akhera. Nilikiwa nna matatizo lakini baada ya kutembelea hii nimepata njia za kitatua alhamdulillah
 
on 18/10/2017 at 18:59

ASALAM ALLAAYIKUM WAR'RAMAT ALLAAH
Bismillah Arahimani Arahim
Napenda kuwapa pole kwa kazi nzuri na nzito mnayoifanya.
 
on 15/09/2017 at 16:52

jazakumullahu khayra
 
on 13/09/2017 at 15:30

asalaamu alaykum wa rahmatullah wabarakatu nimefurahi kuona namna gani uislamu unavyo weza kufundishwa kuipitia maswali na majibu mungu awalipe wote
 
on 12/09/2017 at 17:18

Alhamdulillah allaah awfanyie wepesi na awazidishie baraka, kwan kupitia alhidaaya napata i'ilm ya kutosha na yenye manufaa.
 
Messages : 41 to 60
Page : 3
Number of messages : 1549