Back to the homepageBack to the homepage
Alhidaaya Tathmini Shukurani Kumbukumbu Zako
Name or Nickname : *
Email address : *[P]
City :
Country :
Your message : *

Please copy this 4 letters code into the box on the right : (Why this?)


Messages : 61 to 80
Page : 4
Number of messages : 1546
on 10/08/2017 at 18:09

nimejifunza mengi kutokana na mtaandao huu na washukuru nyoteni ndugu zangu wakiislamu Allah awabariki muzidi kutufunza mengi
 
on 10/08/2017 at 16:46

Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatu.Allah awabaariki kwa mada mbalimbali mnazozitoa tunastafiidi saana .
pia naomba mnisaidie kujiunga ili niweze kupokea makala zenu za kila ijumaa.kwani nimejiunga zaidi ya Mara tatu lakni naona bado sijabahatika kupokea makala hizo.
 
on 01/08/2017 at 16:27

Nimejifunza mengi sana kupitia mtandai huu Allah awalipe ujira ulio bora
 
on 29/07/2017 at 08:35

Alhamdulillah NAMSHUKURU ALLAH (S.W.T) NIMEJIFUNZA MENGI NA SIJAMALIZA YAPO MENGI NA MAPYA YA KUJIFUNZA ALLAH(S.W.T) AWALIPE YALIYO BORA HAPA DUNIAN NA KESHO AKHERA
 
on 28/07/2017 at 13:13

Nahitaji kujiunga na mtandao wenu ili niweze kujifunza mengi kutoka kwenu takiwemo:-
1 kujua jinsi ya kutengeneza vyakula vya aina zote
2 kuifaham dini inasemaje
kujua lugha ya kiarabu kwa ufasaha
 
on 20/07/2017 at 21:20

Nimejifunza Mengi Kupitia Alhidaya.com
 
on 19/07/2017 at 19:33

Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Jazzakallah Kheri Alhidaaya Allah awalipe malipo mema duniani na akhera nawapenda kwaajil ya Allah,, ila nasikitik coat jarida zenu saiv cjui tatizo nn karib three months sasa.
 
on 09/07/2017 at 15:01

Napenda mafunzo ya alhidaya kwa mapishi alhamdulilahi kwa elimu mashallah alhidaya mabruk allah awazidishie
 
on 02/07/2017 at 12:08

Assalaam alyakum warahmatullahi wabarakatuh,Alhamdulillah tovuti mmeiboresha saana na imependeza hongereni na Allah awalipe

pia naomba mtuwekee mada mbailimbali kuhusu mas ala ya ndoa,hadithi mbalimbali kma ilivyokuwa mwanzo na vitabu vya kujisomea.
suala la tatu ni maombi pia baadhi ya mada mnazitoa kwa kiswahilii tu hivy bac haidthi zake naomba mtuandikie kwa kiarab.AASANTUM.
 
on 01/07/2017 at 14:43

Allah subhannah waataallah awajalie wote wanaotuelimisha katika tovuti hii kwa maaslahi ya waaislimu.
 
on 28/06/2017 at 22:57

asalamu alykum nimefurai sana mola awalipe kila lakheri fi dunia wali akheri
 
on 24/06/2017 at 20:19

"Allah aulinde huu mtandao wetu wa Alhidaaya.com, maana hawa masheikh serikali hawatudanganyi tena. Maana mambo yote ya Dini Yetu yamewekwa ktk usahihi na Wanazuoni wachaMungu.
 
on 18/06/2017 at 16:27

Barakallahu fiyq
 
on 11/06/2017 at 11:33

Sifazote Njema Anastahk Allah (s.W) Ambaye Ameumba Mbingu Na Ardh Na Vyote Vilivyomo.

Ndugu Zangun Wa #alhidaaya Nawashukurun Kwa Msaada Wa Elimu Mnaotpatia Kwan Mnatuwezesha Kujua Yale Ambayo Tlikua Hatujui Katka Dini Yetu Ya Unyenyekevu(uislamu).

Allah Awajaalie Mafanikio Mema Apa Dunian Na Kesho Akhera.

Ningependa Niwaombe Kama Mna Ukurasa Wenu Wa Facebook Mnitumie. Natumia Jina "Hamimu Ally Nkwaje" Ili Kwamb Niweze Kuendelea Kufuatilia Darasa Lenu. Aksanten.
 
on 10/06/2017 at 12:31

Namshukuru allah kwa kuupata mtandao unaotupa elimu juu ya mambo mengi.
 
on 08/06/2017 at 12:54

As salaam alaykoum....... barakallaahu fiiykum
 
on 06/06/2017 at 19:18

Assalammu alaykum nimefurahi kumuondoa ndugu yangu aliye taka kunaswa na mashia juu ya hoja kuhusu swala tano amefahamu na amerudi kundini allah awahifadhi na mwendelee kutijibu maswali yetu
 
on 29/05/2017 at 09:27

Alhidaaya mashaallah
 
on 24/05/2017 at 05:21

Assalammu alaykum wa rahmmatuullaahi wa barakauh
Nafurahi sana kwa kupata mtandao huu wenye faida tele hasa ikizingatiwa kuwa unafuta manhaj ya Mtume Muhammad صلى الله عليه و آله وسلم
Nawashukuru Sana wahusika wa huu mtandao na Allaah Awalipe kila la heri kwenye juhudi zenu.
Maoni yangu nikuwaomba mufanye ushirikiano na islamqa.com ili tuweze kufanikiwa zaidi.
Sshukran.
 
on 21/05/2017 at 20:06

Assalaam Alaikum shukran tunafaidi sana ALLAH Awalipe kila la kheri
 
Messages : 61 to 80
Page : 4
Number of messages : 1546